Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Usipaniki Singida na baadhi ya maeneo ya Dodoma.Hata lishe ni ngumu.ni mwendo walenda na ushirikina tu.kwenye uchawi maendeleo ynchekewa.Wanaloga ata mbuzi..Hizo takwimu ulizozitoa ni arithmetic na siasa tu
Huyo kwenye Atavar ni wewe? Nakuona kama zumbukuku mwenye fikra na maono ya kijinga kabisa!

Unataka kusema Tanzania hii sehemu zote ambazo wewe unazoziona zina maendeleo watu hawarogi, hakuna uchawi?

Tatizo la Watanzania mna akili ndogo sana, suala la uchawi na ushirikina wa kurogana lina athari kwa mtu mmoja mmoja sio kwa jamii nzima -- tatizo la maendeleo au maisha bora lina kiini kikubwa ukilinganisha na juhudi za serikali.
 
Nimetoa maoni yangu kutokana na kutembea na uzoefu watu wamepaniki wengine wanatukana.Au nimewagusa mmetoka Itigi na Manyoni nn.Sijapinga research sababu naelewa tafiti upingwa kwa Tafiti.
 
Ndugu instanbul Njombe wamewapiga bao duh kagera mnakwama wapi?
Ka njombe ni Ka mkoa kadogo Sana na pia pato Lao ni kubwa kulinganisha na population iliyopo ndo maana unaonekana Una ahueni hivyo hivyo Kilimanjaro.

Mkoa wa kagera ni mkubwa,Una population kubwa zaidi ya 3 milion,na population density kubwa na ni wa tatu baada ya mwanza na dar hivyo likipigwa pato la mkoa na wingi wa watu mkoa unaonekana nyuma.

Pia vijiji vya kagera vikichukuliwa vikaunganishwa katika mkoa mdogo kama Kilimanjaro au njombe hata dar haitatia pua.
Tatizo mkoa ni mkubwa na watu ni wengi hivyo maendeleo ya mkoa yanamezwa.

Anyway sasa hiv ni wa kumi na moja 2025 utarudi kwenye five best . recovery ya majanga inaendelea
 
Umaskini wa kipato, fwedha baba fedha, sio kula gimbi tumbo hiloo.

Basi eti wewe siyo maskini.
Mkuu mimi nimeenda mikoa yote ya Tanzania japo mingine nimelala usiku mmoja na kupita
Lakini kigoma nilikaa miezi miwili nilivutiwa sana na maisha ya kule very cheap,hali ya hewa safi, watu wamechangamka, chakula safi mjini usafiri ni uhakika kila kona ukienda ziwa Tanganyika burudani tu

Hiyo migebuka na ugali wa mwogo hatari sana
Nilipapenda mkuu
Ndio nikisikiaga kigoma ni maskini nashindwa kuelewa
 
Ajabu mkoa wa pwani umeizunguka Dar yote kasoro bahari tuu lakini nako wameachwa mbali na Dar
Kuna haja ya kuliangalia hili suala, yaan pwani na Dar ni pua na mdomo lakini maendeleo ya pwani bado yako chini....
Kuna haja hizi takwimu wapewe nakala MaRC ili wafanyie kazi maeneo yao husika, wahusike kwa namna moja ama nyingine kujenga uchumi katika mikoa husika, kama kilimo , uvuvi n.k
 
Nature ya watu inachangia pia ukosefu wa elimu
 
😂😂😂 ulanzi upo ndani mkoa ila kwetu haupo,njaa tunaisoma magazetini tu na kuisikiliza redioni,ila nilipita Singida,Dodoma na tabora,kuna ufukara wa kutisha nashangaa hawapo kwenye poorest region

Yan nimeshangaa sana Mkuu hivi kati ya Dodoma na Iringa wapi kuna umasikini ,,Iringa kupo vizuri sana kimapato kwa mwananch mmoja mmoja na upatikanaji wa chakula tofauti na Dodoma.
 
Ka njombe ni Ka mkoa kadogo Sana na pia pato Lao ni kubwa kulinganisha na population iliyopo ndo maana unaonekana Una ahueni hivyo hivyo Kilimanjaro.
Mkoa wa kagera ni mkubwa,Una population kubwa zaidi ya 3 milion,na population density kubwa na ni wa tatu baada ya mwanza na dar hivyo likipigwa pato la mkoa na wingi wa watu mkoa unaonekana nyuma.
Pia vijiji vya kagera vikichukuliwa vikaunganishwa katika mkoa mdogo kama Kilimanjaro au njombe hata dar haitatia pua.
Tatizo mkoa ni mkubwa na watu ni wengi hivyo maendeleo ya mkoa yanamezwa.
Anyway sasa hiv ni wa kumi na moja 2025 utarudi kwenye five best . recovery ya majanga inaendelea

Mkoa wa Kilimanjaro kieneo sio mdogo sana kwa Kagera kama ulivo andika ,kumbuka pia Kagera imemegwa na na Geita kidogo.
 
Kilimandjaro tumeendelea Ku maintain nafasi yetu
Tulikuwa namba mbili kwa 86% katika ripoti iliyopita,na sasa tupo vilevile namba 2 lkn kwa 90%
Hope ripoti nyingne tutakuwa 95% lengo letu wana kilimanjaro tunataka tuwe 100% kabisa na maisha bora
Naona nyie kagera mmejikomboa
Ila Kanda ya ziwa mna asili ya umaskini maana mikoa 3 Kati ya 5 maskin Ni lake zone

Mleu nukyekunda shira ,, na wandu wa Kagera.
 
Yan nimeshangaa sana Mkuu hivi kati ya Dodoma na Iringa wapi kuna umasikini ,,Iringa kupo vizuri sana kimapato kwa mwananch mmoja mmoja na upatikanaji wa chakula tofauti na Dodoma.
Jamani ina maana watu wa takwimu wanapendelea????[emoji848]hapana kuna vigezo mwaka jana walitoa mikoa inayoogoza kwa ukimwi njombe ikaongoza, sasa tuvumilie otherwise na nyie mktafiti kuhusu umaskini, KWANINI BAADHI YENU MNATAKA SINGIDA NA DODOMA WAWE MASKINI nje ya takwimu rasmi, watu wanapambana uutokomeza umaskini ndio maana takwimu ya umaskini wa kipato umepungua, baadhi yenu mnarazimisha TU, singida na Dom haipo kwenye umaskini sio mm ni takwimu ya kitaifa imeonyesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom