Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Jamani ina maana watu wa takwimu wanapendelea????[emoji848]hapana kuna vigezo mwaka jana walitoa mikoa inayoogoza kwa ukimwi njombe ikaongoza, sasa tuvumilie otherwise na nyie mktafiti kuhusu umaskini, KWANINI BAADHI YENU MNATAKA SINGIDA NA DODOMA WAWE MASKINI nje ya takwimu rasmi, watu wanapambana uutokomeza umaskini ndio maana takwimu ya umaskini wa kipato umepungua, baadhi yenu mnarazimisha TU, singida na Dom haipo kwenye umaskini sio mm ni takwimu ya kitaifa imeonyesha

Tumia common sense wakati mwingene na uzoefu tu katika maisha,,

1:Angalia upatikani wa maji Dom na Iringa
2:Angalia upatikanaji wa chakula
3; Angalia uchangiaji kwenye pato la taifa (Hapo sijazungumzia Dodoma kama jiji na Iringa kama mji nimezungunzia kama mkoa kama takwimi zilivotanabaisha)
4:Angalia shughuli za kilimo kati ya Dom na Iringa (kilimo cha kutegemea mvua)

5:Angalia uzalishaji wa mbao Iringa na Dodoma zabibu ,ufuta na alizeti

6:Angalia ufugaji kati ya mkoa wa Iringa na Dodoma. Kuna akina mama wengi wa Iringa wanakipato kizuri kutokana na kuuza maziwa Asas
Angalia shughuli za uvuvi bwawa mtera upande wa Iringa

Angalia kilimo cha umwagiliaji Iringa na Dodoma . ilula iringa wananchi wa pale wanakipato sana kutokana na kilimo cha umwagiliaji.

Wananchi wengi wa Mkoa wa Iringa wana uhakika wa milo angalau mitatu tofauti na Mkoa wa Dodoma ,sasa iweje mkoa wa Dodoma uwe juu kuliko Iringa .

NB::
Mimi wilaya zote za Iringa kuanzia Mufindi ,Kilolo,Iringa Mjini,na halmashauri ya Iringa vijini nazifahamu vyema kwa kutembea zote sio kusimuliwa

Pia wilaya Zote za Dodoma kuanzia Kondoa ,Bahi,Mpwapwa ,kongwa ,Dodoma mjini nazifahamu kiasi chake kwa kutembea na si kuhadithiwa .

Kwahiyo Mkuu hizi tafiti nyingi na takwimu huenda ni uchwara sababu haziendani na uhalisia wa watu tunayoyafahamu.
 
Ajabu mkoa wa pwani umeizunguka Dar yote kasoro bahari tuu lakini nako wameachwa mbali na Dar
Kuna haja ya kuliangalia hili suala, yaan pwani na Dar ni pua na mdomo lakini maendeleo ya pwani bado yako chini....
Kuna haja hizi takwimu wapewe nakala MaRC ili wafanyie kazi maeneo yao husika, wahusike kwa namna moja ama nyingine kujenga uchumi katika mikoa husika, kama kilimo , uvuvi n.k

Kuna kitabu fulani hivi cha Civics kidato cha tatu kimeandika ni wavivu sana watu wa pwani.
 
Sawa ni vigezo vyako umeainisha huenda kwa iringa na Dom, sasa huenda wamezidiwa na wagogo na warangi usilazimishe kamanda, unajua kondoa pekeyake ianapato kubwa sana mpwampwa,ina pato kubwa sana, watu wa takwimu wanadurusu kila kona wewe umejaribu lakini takwimu inainyesha wamezidiwa
 
Kondoa kuna nini zaid ya alizeti na wanawake wazuri,,???
Mimi sikubaliani na hizo takwimu hata kidogo hasa kwa Mkoa wa Iringa na Dodoma.
 
Ukifuatilia comments nyingi humu unabaini kwamba wachangiaji wetu wanahoji usahihi wa hizi data from NBS... Maana yake ni kwamba zile kelele nyingi za kuupinga ule muswada uliopitishwa wa kukataza kuhoji uhalali wa takwimu kama hizi zilikuwa na msingi sanaa...
 
Taarifa ya Ofisi ya taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu kiwango cha umaskini wa kipato kwa Tanzania bara kwa mwaka 2017/18. Mkoa wa Rukwa unaongoza kwa umaskini nchini ambapo 45% ya wananchi wake wanaishi kwenye umaskini wa kupindukia (absolute poverty), wenye kipato chini ya dola moja kwa siku.

Mikoa mitano inayoongoza kwa umaskini nchini ni;
1. Rukwa | 45%
2. Simiyu | 39.2%
3. Geita | 37.5%
4. Lindi | 36%
5. Mwanza | 34.6%

Mkoa unaoongoza kwa kiwango kidogo cha umaskini ni Dar es Salaam ambapo aslimia 8% tu ya wakazi wake ndio wanaoishi kwenye umaskini wa kupindukia (chini ya $ 1 kwa siku). Mikoa mitano yenye unafuu wa maisha ni;

1. Dar (92% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku
2. Kilimanjaro (90% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
3. Njombe (87% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
4. Morogoro (80.7% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
5. Songwe (79.3% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
Hongereni wananchi kwenye mikoa iliyopita fora
 
Ni nature au iko planned iwe hivyo?
Basi watu wake watakua mbumbumbu .

Vyuo vyote na fursa zote hizo lakini bado maskini .

Kagera hakuna chuo kikuu hata kimoja cha serikali lakini hakuna mkoa unaouweza fikia hata robo Kwa watu wake kusoma.
 
Mkoa wa Kilimanjaro kieneo sio mdogo sana kwa Kagera kama ulivo andika ,kumbuka pia Kagera imemegwa na na Geita kidogo.
Walitoaga Ka chato Tu iliyokuwa tarafa ya kagera.

Lakini bado mkoa ni mkubwa na ndo wa tatu nchini Kwa population density na population baada ya dar na mwanza
 
Mkoa wa Kilimanjaro kieneo sio mdogo sana kwa Kagera kama ulivo andika ,kumbuka pia Kagera imemegwa na na Geita kidogo.
Hiv unajua geography vizr?
Usiuangalie kagera nchi kavu Tu angalia na maji ya ziwa Victoria na visiwa vyake.

Kilimanjaro inalingana na wilaya mbili biharamulo na ngara Tu za kagera
 
Kigoma ukihitaji bidhaa au kitu labda mpaka kuanzia saa nne au tano asubuhi ndiyo wanafungua Maduka.Hii ni kiashiria kuwa hakuna mzunguko mkubwa.Na ikifika jioni saa 12 hata sehemu ya kula wale wageni utapata shida saana.Hii yote ni kuwa hakuna mzunguko wa mabadilishano ya hela.Kuna watu watabisha lakini siye tumejionea takribani 4yrs
 
Hii ni kweli, mimi mwenyewe najiandaa kuendea kama 7 maana msimu wakuandaa vitaru UK nakaribia.
Waliotoa hivo viwango wamefanya utafiti,Kigoma mzunguko wa pesa ni mdogo sana,wengi wa watu wa Kigoma wanakimbilia mikoa ya Tabora na mikoa mingine ya jirani kujitafutia maisha,chakula kingi sawa,lakini ogopa sana sehemu ambayo mzunguko wa pesa ni mdogo.walima tumbaku wa Tabora wanawatumia sana watu wa Kigoma kwenye shughuli za tumbaku, ni wachapa kazi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom