msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,204
Mfano mzuri huwezi ukakutana na mtu anakuambia anatoka Tabora anaenda kigoma kutafuta maisha ila watu kutoka kigoma kuja Tabora ni baraaaa.
Kweli mzunguko wapesa kigoma ni mdogo.
Kweli mzunguko wapesa kigoma ni mdogo.
Bahati mbaya umezunguka wilaya zote mjini,nenda maeneo ya vijijini,sehemu ambayo bidhaa ni bei rahisi,huwa kuna mzunguko mdogo wa pesa,na sehemu ambayo kuna mzunguko mdogo wa pesa pia umasikini huwa mkubwa,na pia hakuna maendeleo.Ikiwa kuna hali nzuri kwanini watu wa Kigoma kila siku kulalamika kuachwa nyuma kimaendeleo? au kwanini wanalalamika kutengwa na serikali?.