EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,720
Taarifa ya Ofisi ya taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu kiwango cha umaskini wa kipato kwa Tanzania bara kwa mwaka 2017/18. Mkoa wa Rukwa unaongoza kwa umaskini nchini ambapo 45% ya wananchi wake wanaishi kwenye umaskini wa kupindukia (absolute poverty), wenye kipato chini ya dola moja kwa siku.
Mikoa mitano inayoongoza kwa umaskini nchini ni;
1. Rukwa | 45%
2. Simiyu | 39.2%
3. Geita | 37.5%
4. Lindi | 36%
5. Mwanza | 34.6%
Mkoa unaoongoza kwa kiwango kidogo cha umaskini ni Dar es Salaam ambapo aslimia 8% tu ya wakazi wake ndio wanaoishi kwenye umaskini wa kupindukia (chini ya $ 1 kwa siku). Mikoa mitano yenye unafuu wa maisha ni;
1. Dar (92% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku
2. Kilimanjaro (90% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
3. Njombe (87% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
4. Morogoro (80.7% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)
5. Songwe (79.3% wana kipato zaidi ya $1 kwa siku)