Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Wacha tuheshimu watu wa takwimu tusije kuambiwa tunapotosha
Najiuliza Rukwa eti kuna ufukara wa kutupwa,nimewahi pita kule kipindi fulani,kuna wakulima wa mahindi, wafugaji na wavuvi kule ziwani,najiuliza wametazama nini,maana s'wanga hakuna njaa hata siku moja