ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Huku ukija uje na nguo moja tu,ukionekana unabadirisha nguo mara kwa mara unalogwa
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
kwanza kwa Tanzania ya leo miji imaechanganyikana sana,unajuaje kwamba waliokuwa wanakuroga ni Wanyakyusa?
Pili,kwa nini hujaamini aliyekuwa anakuroga ni ni Mwarabu kwa sababu ya maanishi hayo ya kiarabu?
au umetumwa kuwaaminsha watu kwamba haiwezekani mtu asiye mnyakyusa kuishi mby...rudi shule ,hiyo biashara inahitaji shule,Mkuu ulitaka ufanikiwe katika hiyo biashara na elimu yako ya darasa la 3B?,....hmmm lkn mchawi hutambuiwa na mchawi mwenzie...nawe pia ni mchawi
 
Mkuu hawa wanyakyusa ndivyo walivyo. Ni watu waliojaa wivu na ukabila wa kutisha. Uchawi, unafiki na ukatili ndiyo rangi yao. Ukiwaona wanachecka chaeka, wanatafuta jambo. Siyo watu wale mkuu. Kaa nao kwa akili.
haha umenena kweli nimekaa na wanyakyusa Tukuyu uliyosema ni ukweli mtupu
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Kama ndio hivyo wakinga wangekimbia, wewe sema tu biashara ilikushinda .usisingizie hirizi
 
Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
Mkuu, inaonekana ulikuja miaka ya tisini. Njoo sasa hivi uone mji ulivyo. Foleni kama Dar
 
Hii mada imerudi tena? Mmetuandama watu Mbeya. Ila mtambue kuwa sisi kwetu ni Rungwe, Kyela, Busokelo huko kwingine tunatafuta maisha kama ninyi. Labda kama biashara ya Bima ina ushindani na biashara za mchele na matoki!
 
ukiona mada imerudi ujue tatizo ni kubwa.
 
Wanawake wa huko ni kama wanaume maumbo yao hasa huko kyela na Tukuyu
 
Hii mada imerudi tena? Mmetuandama watu Mbeya. Ila mtambue kuwa sisi kwetu ni Rungwe, Kyela, Busokelo huko kwingine tunatafuta maisha kama ninyi. Labda kama biashara ya Bima ina ushindani na biashara za mchele na matoki!
Kuna mambo ya ajabu huko sijawahi kuyaona, ukiwakuta Dar wanyakyusa kelele kibao nenda kwao ni aibu, hawajui hata kujisafisha ni uchawi tu
 
Hawajui kujisafisha nini? Vipi wewe kwenu ni Dar?
 
Mkuu uchawi upo mikoa yote na dunia nzima.... by the way mbeya ni mkoa wenye wilaya karibu 7 na kila wilaya ina kabila lake.... lakin pia haimaanishi kwamba wafanyabiashara wa mbeya ni watu wa mbeya tuu.... usi wa blame wanyakyu tuu kisa ndo kabila famous mbeya
 
Da
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Kiongozi ni kitu gani ambacho kimekufanya useme ni wanyakyusa ndiyo wanakufanyia ulozi?
Je unaweza kutuambia washindani wako wa biashara (bima hapo mwanjelwa)ni wanyakyusa tu?Mwanjelwa napajua ni mchanganyiko wa wafanyabiashara kutoka makabila mbalimbali,Wakinga,wachaga,wahehe,wapangwa nk,Mkuu mbeya siyo wanyakyusa tu kuna wasafa,wamalila,wanyamanyafu,jipange Mkuu
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
HahahaaaHahahaaa! "!!!!!! Pole bwana mdogo nimekufahamu aisee kumbe ile ofisi pale umefunga kwa sababu ya vibweka hivyo??? Pole sana ila ukifungua turudishie kale kadada pale pale ni karembo aisee .na kanajua kuhudumia wateja kwa ukarimu
 
Mkuu uchawi upo mikoa yote na dunia nzima.... by the way mbeya ni mkoa wenye wilaya karibu 7 na kila wilaya ina kabila lake.... lakin pia haimaanishi kwamba wafanyabiashara wa mbeya ni watu wa mbeya tuu.... usi wa blame wanyakyu tuu kisa ndo kabila famous mbeya
Mbeya mbona wamejaa wakinga pale mkuu inamana mdau anaona wote wanyakyusa au wasafwa
 
Ndioo.... tanzania ya leo ni mchanganyiko makabila yamesambaa kutafuta maisha.... uyu mtoa mada mbona ni primitive sana
 
Kwendeni zenu huko ndivyo mlivyo mnakuaga na wivu mpaka mnaumwa kasumba tu zinawasumbua.
Wee biashara imekushinda unaanzaga kusingiziwa kurogwa. Potelea mbali huko mwenye imani haba wewe... Wakuonee wivu kwa kipi haswa ulichonacho? Mfyuuuuuuuuuu
 
Mtoa mada nahisi una chuki binafsi na wanyakyusa, Mbeya wanyakyusa wanaomiliki biashara kubwa wanahesabika. We unafikiri kila mtu mbeya ni mnyakyusa. Hata huko mbarari wakazi wake ni wasangu. 70% ya wafanyabiashara mbeya ni akina Sanga na hata ukiuliza top ten ya makabila yanayosifika kwa biashara Tanzania sidhani kama wanyaki watakuwemo. Kinachowaponza wanyakyusa ni kuongea sana lugha yao hadharani kitu kinachofanya mbeya ionekane ni yao peke yao. Wasafwa ni wengi sana ila hawaongei lugha yao hovyo hivyo huonekana wapo wachache lakini ukienda uyole na mbalizi wao ni zaidi ya 60%
Mtoa mada lazma atakuwa aliporwa mke na mnyakyusa au alipigwa kibuti. Akili fupi tuu kuwazia uchawi. Haya Mbeya imemshinda ina wachawi, si akafungue biashara Manyara huko. Atutokee hapa sie na imani zake potofu
 
Back
Top Bottom