mommythebest
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 516
- 617
Acha zako wewee, una generalize. Aliyekuambia ni wanyakyusa ndo wanakufanyia hivo nani? Una uhakika gani? Kwa hyo
ya wakazi na wafanyabiashara wa Mbeya ni wanyakyusa?? Una imani haba, ndo mana hayo yanakukuta. Utukome wanyakyusa. Kama yamekuahinda kivyako, do not generalize