Ulokole wa wana Jf

Ulokole wa wana Jf

Hao walokole ni wanafki wakubwa. Kama si wanafki basi wanaumwa akili au wako mbioni kuumwa akili.

Wale wanafki ndo vinara wa maovu. Ulokole wao ni zuga tu. Ukiwachimba kwa kina utagundua wengi ni mafisadi mamboleo.
 
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"


Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???

cc felinda nameless girl

tatizo ni kwamba wale ambao unawahitaji wenyewe hawakutaki ndio maana wanasingizia wameokoka. Penda unapopendwa.
 
Last edited by a moderator:
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"


Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???

cc felinda nameless girl

kwani wote wenye majina ya kike na Avator za kike Humu JF ni wanawake, wengine ni wanaume nadhani na wewe ndio uliowatokea
 
Eti anapeleka uhendsam kwa watoto wa siku hizi..!? watampa vifungu vya baibo mpaka aseme hiki nini..!!??


Mwl; alimuuliza Dullah.. Dullah,ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa.?
Dullah: napenda kuwa tajiri mkubwa, nimiliki magar na majumba ya kifahari, halafu nioe na kumpangishia mke wangu hoteli Paris, nimnunulie magari ya kifahari na kumpeleka kila anapotaka."
mwl :mmh. haya,.!
akageuka upande wa pili "eeeh na ww Mary ungependa kuwa nani baadae?
Mary: nataka kuwa mke wa Dullah.
mwl hoi...!!!
"chezea watoto wa Digital wewe.!
 
tatizo ni kwamba wale ambao unawahitaji wenyewe hawakutaki ndio maana wanasingizia wameokoka. Penda unapopendwa.
Hawanitaki kivipi??
wao ndio wanani pm kwa sana, namba za simu wana nipa wao,
na mimi sicheleweshi, ndipo najibiwa ameokoka...kweli haya majanga
 
Hawanitaki kivipi??
wao ndio wanani pm kwa sana, namba za simu wana nipa wao,
na mimi sicheleweshi, ndipo najibiwa ameokoka...kweli haya majanga

inawezekana na wewe umejifanya mlokole ndio maana na wenyewe wanapita mulemule. Chezea mabinti wa mjini wewe utaumia mwenyewe.
 
snowhite kuja huku
na ww pia kwa kuokoka hujambo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom