Uliza chochote kuhusu Rwanda

Duh!
Mnapimana pua kwa vernier callipers? 😄😄
 
Sasa hiv wanyarwanda hasa wahutu wanavisasi vya hali ya juu kuliko wakat wowote my friend. Na kagame kajichanganya mpaka mageneral wengi watutsi wasiokubaliqna nae anawaua au wako house arrest. Bisha nikupe idadi. Ukikaa na wahutu ndio wanaoumia sio watutsi. Unaendeleza kile kile ulichokipigania. Bora Marehemu General Rwigema angekuwepo. He was very smart Rwanda ever had
 
Bahati mbaya sasa ndo hivo hayupo, aliyepo wanaoongozwa nae, ndo wanaenjoy maisha.

Hiyo list uiweke na sababu za kila mmoja kuuliwa au kufungiwa kwake.
 
Mleta mada upo smart....ila Kiswahili chacho imenibidi nimeze panaldo mana kinaumiza kichwa.

Wanaouliza wewe kabila gani....hao hawajielewi
 
Wanyarwanda mna taarifa sana na Tanzania, but hongera sana upo smart upstairs
 
Mleta mada upo smart....ila Kiswahili chacho imenibidi nimeze panaldo mana kinaumiza kichwa.

Wanaouliza wewe kabila gani....hao hawajielewi
Kinaumiza kichwa kivipi mkuu?

Ikiwa ni cha kujifunza ukubwani, usitegemee kitakuwa kama cha mzawa. Kikubwa tu ujumbe ufike.
 
“Visit Rwanda 🇷🇼” ktk jersey za PSG ya France 🇫🇷 na ile Arsenal pale England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 inamatokeo chanya hasa ktk kuvutia watalii, kipi kimeongezeka ktk tasnia yenu ya utalii baada ya kuwepo kwa visit hizo ktk club kubwa za ulaya???
 
Kuna tetesi kuwa kwa namna moja ama nyingine kuwa kifo cha mchungaji mtikila kinahusishwa moja kwa moja na watu wa PK kwa walaka wake kwa serikali ya Awamu ya 4, chini ya Rais kikwete, hili unalizungumziaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…