Uliza chochote kuhusu Rwanda

Ni kweli Rwanda ina uwezo wa kijeshi kupiga mataifa yote ya Kusini na mashariki mwa Afrika?
Sio kweli.
Ina nguvu kiasi gani kupigana na mataifa yote hayo?
Kama moja moja, hapo ndo tungeongea.
Vita vya namna hiyo mara zote alizojaribu USA ,hajawahi kushinda hata moja.
Vita na mtu unaepakana nae, hapo ndo mtatunishiana misuri. Ila uende kupigana na mtu wa mbali? Hamna kitu kama hicho.
 
Watu wa Rwanda ni kama wa Israel kuwa na shauku ya kutawala takaba zingine, vp kuhusu shauku ya PK kutawala maziwa makuu itafikiwa lini, baada ya Congo kuanguka taifa lipi litafuatia???
Kumbuka, kila raisi kama amiri jeshi mkuu,ana mamlaka ya kulinda mipaka ya nchi anayoiongoza. Tatizo la DRC na Rwanda, ni FDLR. Siku ikiwa haipo tena, mambo ya vita DRC hutoyasikia. Rwanda usiilinganishe na Israel, kwa sababu ina historia yake.
Hawezi kuwa na shauku ya kutawala maziwa makuu, kwa sababu hizo nchi za ukanda huo zina uongozi wake.
 
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?

Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?

Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!

Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Haka kanchi rais wwke simpendi kabisa, mwanzo nlikuww nampenda ila nlipogundua ndo mwenye m23 aaaaah hapana kwa kweli
 
akili za kisisiemu hz , vita ngap mmepigana ? Rwanda yupo huko DRC sio UN na SADC , pia afrika ya kati pia Uganda pia Msumbiji etc wapo vitan tangu mwaka 1986
 
We uko wapi chief? Wanajeshi wa rwanda mpaka sa iv wapo congo wanajiita m 23
 
safi ila mauaji ya 1994 wahutu ndio waliuliwa wengi ndio maana walishindwa vita pia mauaji walianzisha watutsi kwa kuuua marais wahutu mara kadhaaa na waliporudia mwaka 1994 wahutu waliona enough is enough , wakaamua kulianzisha
Mkuu, miaka ya 1989 mpaka 1992,3 mashuleni kote Rwanda, kulikuwa na sensa. Watoto wanasimamishwa, watusi mbere, wahutu nyuma. Hiyo sensa ililetwa na kulipuliwa kwa ndege hiyo?

Je, unadhani intelligencia ya Rwanda ya mwaka 1994, ilikuwa dhaifu, ikiwa na msaada wa ufaransa, ubelijiji, mpaka RPF ikapenya na kudungua ndege?

Umbali wa ilipodunguliwa ndege hiyo, nyumbani kabisa kwa raisi, kutoka lilipolipukia kombola mpaka ndege inapotua, si zaidi ya Kilometa tatu. Unadhani nchi zinakuwa kama serikali za mitaa kutozingatia usalama kama huo?

Mauaji ya 1959 na kuchoma nyumba zao, walikuwa wamekufa marais?

Je, wakimbizi wote waliokuwa nje ya nchi, walikuwa matembezini?
 
Nikiwa mtanzania naweza kufanya kazi au kuajiriwa na serikali ya Rwanda? vip kama sifaham kinyarwanda ntawezaje kuwa na marafiki huko Rwanda? Je, kama anaitaji Shori wa kudate naye huko Rwanda on line nampataje? Je Rwanda nako kuna wauwaji wasiojulikana kama Tanzania?Vip swala la usalama wa raia na mali zao upo wa kutosha? Nikiwa kama mgeni huko Rwanda ni sehemu gani salama ya kufikia? vip swala la dini, dini ipi inaongoza? Ni sehemu ip kwa Rwanda sio salama kwa Raia kwamaana vibaka,wezi na majambazi ndo kambi zao? Vip Wanyarwanda ni wabaguzi kwa raia wa nchi nyingine? Biashara gani ambayo inatoka kwa wingi huko Rwanda? Sehem gani ya Rwanda unaweza pata huduma ya sex chap kwa haraka ukaendelea na mishe zako? vip usalama wa barabarani?
 
Kwanini wanawake wa rwanda wanarefusha antena zao?
Hahahahahaha we nae msenge sasa.

Kimila: hilo ni vazi la kile kituo. Wazazi wa zamani, walijua heshima ya mme ni ile. Hivyo,ilikuwa lazima kila mwanamke kumteka akili mme wake, hizo atena ziwepo. Zina raha yake asikwambie mtu mzee. Labda usiwe mwana habari wa kueleweka
 
Ninataka kuja Rwanda kutembelea hifadhi ile ambayo ni maarufu ina sokwe weusi, je ipo sehemu gani na niandae kiasi gani cha matumizi nikiwa ndani ya Rwanda?

Pia, nataka rafiki wa kike kutoka Rwanda naweza kuwapata kwa njia gani kupitia mtandao?
 
Haka kanchi rais wwke simpendi kabisa, mwanzo nlikuww nampenda ila nlipogundua ndo mwenye m23 aaaaah hapana kwa kweli
Kwa nini awe mwenye M23? Wakazi wa maeneo M23 inayopigania, hawana haki ya kuishi? Ebu kabla ya rais huyo, kwanza anza na kutafuta historia ya hawa watu then uje na jibu.
 
We niambie mimi nikutumie mpaka pcha na nafasi zao acha blah blah mingi. Swali la pili unajua kikundi cha kitutsi cha ikotany kimeua wahutu wengi kuliko watutsi waliouawa kwenye ile genocide?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…