Uliza chochote kuhusu Rwanda

Majeshi ya Tanzania yanahusikaje sasa na hiyo taarifa ya M23 kuufikia mji wa Walikale? Wewe akili zako ziko matakoni tu

Umesahau walipokuwa wanasema kunguru apigwe wakimaanisha M23. Sasa wao na FDLR ndio wanapigwa.
 
Unaandika upumbavu tu kwa vile na wewe ni Mnyarwanda. Kitu pekee anachojivunia Paul Kagame ni sympathy ya dunia dhidi ya genocide ya 1994.

Dunia inamhurumia, period. Mwakibolwa mwaka 2013 wakati wa KIKWETTE aliwasha moto na Kagame anaujua

Hivi ilikuwa ni Kagame au M23. Kagame hamumuwezi hata kidogo. Nyie endeleeni kuwateka akina Soka.
 
Tanzania ipi? Hii ya jeshi kuambiwa isimamie uchaguzi. Punguza utani.
Hukumbuki tuliwasambaratisha m23 aka Rwanda army mpaka Rais wao paka akaanza kulialia?Tanzania ikiamua wiki tu wanajeshi wetu wanakunywa chai hapo ikulu yenu.mnaionea DRC kwa sababu ni failed state.
 
Hivi ilikuwa ni Kagame au M23. Kagame hamumuwezi hata kidogo. Nyie endeleeni kuwateka akina Soka.
Wewe muambie huyo kagame wako asijaribu Tanzania hata kidogo au tutamuweka mtu mwingine awe Rais.
 
kabisaa kiukweli tangu lile tukio la 1994 hyo nchi siitamani
Hahahahahahahaha kwa hiyo, unahisi bado yale yale? Je, ungekumbwa nalo sasa si ungejinyonga? Nakuhakikishia hakuna sehemu salama na nzuri ya kutembelea kama unataka kurelax kama ile
 
Kitu gani cha kawaida kujadiliwa na raia lakin serikali haipendi kuona likijadiliwa?
Mambo gani matatu ambayo serikali ya rwanda ni dhaifu kwayo?
Tabia gani mbaya ambayo wanyarwanda wamezifanya kama tamadun, kama watz walivyo machawa chawa, waongo waongo na wapenda rushwa???
 
Hiyo ndiyo excuse yenu ya kibwege. Yeye ana biashara gani sokoni Kariakoo mpaka awe FRONT?
alitumia account yake kuupa airtime ule mgomo, ukifuatilia kwa umakini watekwaji wengi wanatekwa kwa visababu vidogo mno, kuliko uhalisia mfano sababu ya Russia kuivamia Ukraine haindenani na mauaji yanayoendelea…
 
Kama kweli magu alilindwa na wanyarwanda ktk ardhi ya tz hilo sio kosa la JWTZ. Nikama raisi kuvuta bhangi anapokuwa kwenye vikao nyeti vyq maamuzi hiyo ni hulka ila ina madhara kwa taifa husika au kwa kiongoz husika.
 
Sisi watanzania hususani wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa huwa tuna positive attitude kwa Wanyarwanda kwa sababu ya kuwa na the same background ya wakazi wote wa mikoa tajwa na Wanyarwanda ndiyo maana Kuna Wanyarwanda wanaishi Tanzania bila shida, je, Wanyarwanda wanamtazamo Gani dhidi ya Watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…