Uliza chochote kuhusu Rwanda

Mara ya mwisho umeingia lini? Je, umepewa siku ngapi baada ya kuulizwa maswala hayo? Ulipotoka, uliwahi kuulizwa kwa nini umechelewa?
Kuhusu kutoka hawakuwah kuniuliza sababu nilikuwa nakaa kwa muda ule ule walio niandikia kwenye pasport
 
Ikiwa mnajua kwamba hamuwezi kupigana vita na Tanzania hata kwa wiki moja kwanini mnaichokoza?
 
Ikiwa mnajua kwamba hamuwezi kupigana vita na Tanzania hata kwa wiki moja kwanini mnaichokoza?
Hivi, kila mtu ameshakuwa mwanasiasa na msemaji wa jeshi huko? Unachokiita uchokozi ni nini? Kama imechokozwa, ilishindwa kujibu?
Tumieni akili zenu kwa mambo yanayojenga taifa lenu, yanayoweza kuwa na manufaa hata kwa bara kwa ujumla. Misifa mingine ya kijinga tu.
Kwa taarifa yako, kama unajua haijawahi kutokea, na haitawahi kutokea Tanzania ikaingia vitani na Rwanda. Kwa lipi labda?
 
Siyo kweli. Sativa alikuwa anacheat na mke wa Polisi. Polisi tu walitumia madaraka vibaya kwa kumjeruhi na kumtupa Katavi. Magufuli alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha wasiojulikana chini ya Makonda. Ndicho lilomshambulia Tundu Lissu
Kwamba sativa alilomba mke wa mfwele??? Weee jamaa kuchwani ni mweupe sana
 
Ni.3 ni mila zenu za ki Tutsi na haya tumekuwa tukishuhudia hata hapa bongo, ni vipi mambo ya kimila yakaingiliwa na serikali???
 
Ni.3 ni mila zenu za ki Tutsi na haya tumekuwa tukishuhudia hata hapa bongo, ni vipi mambo ya kimila yakaingiliwa na serikali???
3. Sasa, unachokiita mila ni nini? Kumbuka, leo kuna haki. Wewe mdogo wako miaka 15 akiolewa pasi na ridhaa yake utalifumbia macho? Mbona kila kukicha kwenu mnakemea ukeketaji wa watoto wa kike! Si mila kwenu? Kumbuka, kuna maisha ya kipoli poli, nadhani ukienda Kagera kwa wanyambo unaweza ukayakuta hayo. Ila mjini huwezi.
 

Kwa Nini hasa mtu mgeni au Raia wa Kigeni ukifika nchini Rwanda unakuwa unafuatiliwa sana kwa Siri na Mapolisi wa Siri wanaoitwa SEPO? Kwa nini hali ipo hivi ya kufuatiliwa sehemu zote kabisa utakazokuwepo kama vile nyumbani, Hotelini, Lodge, Sokoni na mahali kwingine kote utakapoenda?
Je, ina maana Jeshi la Rwanda limewapatia Raia wake wote Matunzo ya kuwafuatilia (Surveillances) Wageni wote wanaowasili kwenye nchi hiyo ya Rwanda?
Je, hamuoni kwamba hilo ni tatizo kubwa sana kwa Wageni au Watalii wenye nia ya kuzuru kwenye nchi hiyo hususani kuhusiana na Kampeni yenu ya Visit Rwanda???
 
Hilo si kweli. Endapo utajihisi, hapo litakukuta. Uwezo wa intelligensia ya Rwanda,upo juu. Wanayofanya magaidi kwingine, hata Rwanda mara kibao walijaribu,na hawakufanikiwa. Hivyo basi, unavyowasiliana na watu, unapotoka, mwenendo wako, kama vinatia shaka, hiyo hali inaweza ikawepo. Hata mawasiliano yako yanaweza yakafatiliwa, hakuna cha ajabu. Ila kama wewe huna nia mbaya, hayo utakutana nayo wapi?
 
Mnauliza maswali ya kijinga jinga
Hahahahaha waache waulize. Wakati mwingine pia inasaidia kujua watu wana pesa za kuchezea, akili zao zimekaeje. Kuna maswali mhimu na ya maana, kuna na wengine kama vile hawana cha kuuliza
 
Mnauliza maswali ya kijinga jinga
Na ndio sifa ya mjinga kutaka kuelevuka kwa kile ambacho hakijui so, tuliza simi lako refu Msimbe wewe, mtu kasema maswali yeyote hata ya utani wewe unakuja speed kama malaya bar kaona bia
 
Hivi wale wa Tutsi kama sio wanyarwanda waliojazana kwa wingi kuanzia ukingo wa ziwa chamchuzi, maeneo ya halmashauri ya wilaya ya kyerwa ukiwa unaelekea Kaisho, pamoja na wale walio sehemu za kihanga barabara ya kuelekea mto kagera, walio poli la nyaishozi mpaka kule mbele panaitwa kyanyamisa kuelekea pori la benako mpaka burigi mna taarifa nao sahihi kwa maana ya idadi yao na wapo nchini hapa kwa mission gani, maana sio idadi kubwa kiasi kile kuna mda unafika maeneo Yale mpaka unaingiwa na hofu kana kwamba usha visit Rwanda, hivi jinsi walivyo wengi huku kwetu ni sawa na wa bongo walio vuka huko upande wa Rwanda???
 
1, vp na Rwanda kuna festival za matamasha ya kimuziki kama fiesta, ukiondoa the ben ni wasanii gani wengine wanafanya vizuri ktk industry ya music, pia lile kundi la ambassadors of Christ lilifia wapi, na pia kuna lilifuatia nalo pia halikufua dafu ama ndio wanatoa ma song yanaishia nchini mwenu humo humo,

2, Pamoja na hilo Rwanda kuna wana harakati na wakosoaji wa serikali kama akina martin, Maria serungi, Hilda na watu kama hao pamoja na hilo, vp kuhusu wasanii wanaomba harakati kama Roma, nay wa mitego na wengine kama hao nanyi mpo nao pia???
3, Bunge lenu Lina jumla ya wabunge wangapi, wote ni wa chama kimoja tawala ama kuna wa upinzani pia??
4, ligi yenu ina jumla ya team ngapi zinazoshiriki ligi, pia mna derby baina ya team mbili kubwa ama ndio mnayo moja pekee???
5, niliwahi kusikia kuwa kuna baadhi ya wizara miaka ya nyuma kidogo PL aliweka wazungu waziongoze, vp bado wanaziongoza wizara hizo ama alishawatoa??
6, unapokutana na binti wa kinyarwanda/mwenye asili ya ki Tutsi Mara nyingi response Yao huwa kama ya dharau tofauti na wanavyosemeshwa na wanaume wa mfananio wao je, kuna mapandikizi gani ya malezi kutoka kwao kwenda kwa matabaka mengine kuyadharau linapokuja suala zima la kuonyesha kuvutiwa nao, ama ndio ile dhima mlionayo kuwa wa Tutsi mliumbwa na wengine tulichongwa(hii nina evidence nayo kuna binti alinijibu hivi pale kayanga mjini 😁😁)

7, tayari mpo ktk jumuiya ya EA lakini ajabu ni kuwa Mara nyingi nikiwa mipakani huko karibu na Rwanda masaa yanabadilika, kitu ambacho huwa kinanishangaza majira ya jua ni yaleyale yaani jua likiwa linachoma bongo ni sawa na nyie tuu pia hata likiwa linazama japo kuna tofauti kidogo sana… why hamjaamua kuyarudisha masaa ya Rwanda kuendana na yale ya sie wenzenu wa EA??
 
Ikiwa mnajua kwamba hamuwezi kupigana vita na Tanzania hata kwa wiki moja kwanini mnaichokoza?
Mimi ni Mtanzania Rwanda ikiamua inaweza kuichukua Tanzania nzima asubuhi na mapema. Wanajiamini ndio maana wanatuchokoza huu ndio ukweli.
 
Mimi ni Mtanzania Rwanda ikiamua inaweza kuichukua Tanzania nzima asubuhi na mapema. Wanajiamini ndio maana wanatuchokoza huu ndio ukweli.
Unaandika upumbavu tu kwa vile na wewe ni Mnyarwanda. Kitu pekee anachojivunia Paul Kagame ni sympathy ya dunia dhidi ya genocide ya 1994.

Dunia inamhurumia, period. Mwakibolwa mwaka 2013 wakati wa KIKWETTE aliwasha moto na Kagame anaujua
 
Kwamba sativa alilomba mke wa mfwele??? Weee jamaa kuchwani ni mweupe sana
Tatizo wewe bwege umemjua Sativa baada ya yeye kuokotwa Katavi. Lakini nina ku assure Sativa siyo mwanaharakati bali ni kijana wa betting 24/7
 
Tatizo wewe bwege umemjua Sativa baada ya yeye kuokotwa Katavi. Lakini nina ku assure Sativa siyo mwanaharakati bali ni kijana wa betting 24/7
Kwani kuwa mwana betting na kutekwa kinahusisna vp, mambo ya utekaji kwani yameanzia kwa sativa au wote waliotekwa wana vinasaba vya kutembea na wake za watekaji??? Issue yake kutekwa ilihusishwa na yeye kuwa frontline kuhusu suala la wafanyabiashara wa k/koo kugoma kufungua maduka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…