Uliza chochote kuhusu Rwanda

Uliza chochote kuhusu Rwanda

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?

Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?

Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!

Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.

Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
 
Je mwanamke wa Rwanda anaweza kukubali kuolewa na mtanzania na kuja kuishi huku?
Kama ilivyo kwa waTanzania, hilo ni jambo jepesi.
Kikubwa, familia yake ihakikishiwe usalama wake. Maana kutokana na mambo ya siku za nyuma, wengi(ambao siyo makabrasha), hawaamini kama Tanzania ni sehemu salama kwa mnyarwanda
 
Kwanini nafasi karibu zote kwenye taasisi nyeti na makampuni zimeshikiliwa na watutsi
Ntakujibu kwa ninavyoelewa mimi( si precision ya 100%):

1. Si kweli. kwa sababu mifano ya taasisi zenye wasomi wa mfumo wa Kifaransa, ambao walio wengi ni wale wajulikanao kama wahutu, zipo. Mfano wa Rwanda Revenue Authority, na sehemu nyingine zinazohusika na pesa. Hawa, wana nidhamu ya hali ya juu. Si watu wa kukaa na kusubiri mshahara.

2. Si kweli kwa sababu ukifatilia, utagundua vigezo vinavyotumika kuweka watu kwenye makundi hayo ya ukabila, kila upande vipo. Utampata mtutsi mfupi, kiujumla zile sifa za watutsi hana. Na mhutu, utakuta ana kila sifa ya mtutsi. Na mbali na hilo, kwa sasa hivi ni ngumu, kwa sababu watu wanazaliana.

mfano mwingine, wanawake waliobakwa na Interahamwe mwaka 1994, ni watutsi, lakini wamezaa wahutu(kwa tunavoelewa kwamba mtoto ni kabila la baba'ke). Hawa, mbona wapo kwenye hizo ngazi?

3. Hata nyumbani kwako, huwezi kumuamini sana mjakazi kuliko mke wa ndoa. Hivyo,kutokana na historia ya nchi yenyewe, kuna watu wanaujua uchungu wa maisha kuliko wengine.
 
Ni kweli Rwanda kuna Soko zuri la mchele toka Tz?
Ukikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.

Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
 
umefanya vema kuleta huu uzi mkuu. Cha kwanza naomba kujua. Mwaka 2 014 jwtz walilisambaratisha kundi la m23 linaloungwa mkono na rwanda, nini kilikuwa ni chanzo na sababu ya jeshi letu kuvuka mpaka na kwenda kupigana na m23? Nani alitoa idhini ya jwtz kwenda kupigana na m23 wakati ule? Na kwa nini awamu hii wameshindwa kufanya walichofanya wakati ule? Nimeuliza kuhusu m23 kwa sababu inaungwa mkono na rwanda.
Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?

Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?

Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!

Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
 
Ukikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.

Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
Thanks
 
Unahitaji vibali gani kutoka Rwanda kuingiza mchele Rwanda.
 
Tueleze hali halisi ya maisha ya rwanda maana kuna sintofahamu nyingi. Wengi wanasema rwanda kuna maisha magumu sana je hii ni kweli?
Watanzania mna raha sana, na mna bahati nyingi mnazochezea.

Maisha si rahisi kama kwenu.

Uhalisia, ni kwamba Rwanda ni nchi ambayo inajitafuta, ukizingatia mauaji dhidi ya watutsi, mwaka 1994, yamefuta nchi na kuanza upya.

Mwaka 1994, Rwanda ilikuwa na wakazi si zaidi ya milioni 7.
Baada ya vita, wakimbizi wengi warirudi.
Ina maana hawakuwa na pa kushika, mbali na ardhi iliyopo. Kilichofanyika, ni serikali kuweka chini na kugawanya ardhi hiyo familia zote.
Nijambo lililofanikiwa kwa asilimia hata 95, 5 nyingine ikiwa wengine hawakufurahia kunyang'anywa ardhi yao.

Mpaka leo hii, wanyarwanda ni zaidi ya Milioni 14. Ardhi hiyo hiyo ya square kilometa 26,000 na kitu.

Miaka 30 ni muda mfupi sana kuweza kujenga uchumi na sekta zote za maisha.

Hivyo, changamoto hizo, ajira, makazi, na vitu kama hivyo, haviwapi watu maisha kama ya Tanzania au nchi nyingine ambazo hazijakumbana na historia kama ya Rwanda. Hivyo, kwa ujumla, ugumu wa maisha upo, na kulingana na mtu.

Hiyo ni sawa na Tanzania, kwa mtu asie na chanzo cha uhakika cha pesa, atakwambia maisha ni magumu
 
Ukikizi vigezo, soko lipo la uhakika. Tatizo kuubwa ni watanzania kuzoea shortcuts, na Rwanda siyo rahisi. Ila mchele wa Tanzania, ni hot cake.
Kuna watu wana mchele IGUNGA, MARY RICE. Grade I ni I kweli. Mchele ule na kwa bei ile, ukifika, sijui hiyo pesa utaiweka wapi.
Wanyarwanda wanapenda mchele mzuri, tatizo hawaupati. Unaenda sana wa kahama, na chenga ni nyingi kuliko mchele wenyewe. Lakiini tu kwa kuwa umeandikwa "Product of Tanzania", na hasa jina KINYONI, wanajua huo ndo mchele safi. Tatizo chenga.

Kwa hiyo, soko ni la uhakika.
wananunua sh ngap kwa mchele grade one
 
umefanya vema kuleta huu uzi mkuu. Cha kwanza naomba kujua. Mwaka 2 014 jwtz walilisambaratisha kundi la m23 linaloungwa mkono na rwanda, nini kilikuwa ni chanzo na sababu ya jeshi letu kuvuka mpaka na kwenda kupigana na m23? Nani alitoa idhini ya jwtz kwenda kupigana na m23 wakati ule? Na kwa nini awamu hii wameshindwa kufanya walichofanya wakati ule? Nimeuliza kuhusu m23 kwa sababu inaungwa mkono na rwanda.
Ila kuna watu weupe...

Si walienda kwa mwamvuli wa SADC na zile kamandi walikua wanaongoza JWTZ tofauti na sasa.... Kamandi za bwana Mwakibola.
 
Back
Top Bottom