Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Hii sidhani kabisa mkuu, labda madams waliomo humu watatupatia ukweli Joline Kalpana Leejay49 y To yeye . navojua mimi huwa wanaangalia na aina ya mwanaume wa kum-manipulate au kumfanyia izo drama, na nilicho-observe mostly wenye izo drama drama walishaathiriwa na izi tamthilia na series za mapenzi jaribu kuchunguza mzee, wengi wao hutumia izo drama na manipulations kitikisa kiberiti na kupima kina cha maji kwa mwanaume wake.

Eti madams wa humu, kutafuta attention au kuwa cared, ni lazima mtufanyie drama drama na manipulations zisizoisha ?
Yupo sahihi Kabisa
 
Sio lazima mkuu.. Mimi binafsi sipendi mtu awe na majaribio majaribio,, vivyo hivyo sipendi kumfanyia drama mtoto wa mtu kama ananipenda atanijali karidi ya nafasi yake sio lazima niwe na vidrama vya kutafuta attention
 
Hii sidhani kabisa mkuu, labda madams waliomo humu watatupatia ukweli Joline Kalpana Leejay49 y To yeye . navojua mimi huwa wanaangalia na aina ya mwanaume wa kum-manipulate au kumfanyia izo drama, na nilicho-observe mostly wenye izo drama drama walishaathiriwa na izi tamthilia na series za mapenzi jaribu kuchunguza mzee, wengi wao hutumia izo drama na manipulations kitikisa kiberiti na kupima kina cha maji kwa mwanaume wake.

Eti madams wa humu, kutafuta attention au kuwa cared, ni lazima mtufanyie drama drama na manipulations zisizoisha ?
Umeeleza vzr sana...sio kila mwanaume atafanyiwa drama..na kama hamjui mwanamke akishaanza drama maybe ana mpango wa kando anatamani uzingue aendelee huko pembeni..hasa ktk uchumba mara nyingi wadada huwa wanasikilizia unakuta kuna watu 2 anaangalia yupi ana uelekeo sasa huyu asiekua na uelekeo ndo hufanyiwa drama drama ili achoke...
 
Tafuta wimbo wa Mwasiti unaitwa SEREBUKA utakupa faraja sana

Wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa
Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi...
Wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda
Wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo

Labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria

Serebuka2 unaweza penda tena we

Wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka
Wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
Wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao
Wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe

Maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa
Maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa
Lakini yote mipango ya mola alichopanga
Lala lala eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Madini mazuri cha kuongezea ni muhimu amtumaini Mungu amuonyeshe njia sahihi katika Kila hatua unaweza kulazimisha Mambo yakakuta Mambo
 
Nina Wajukuu 2 humu wenye hivyo viwango.

Ila suala la muhimu ambalo kama Babu yao nitatakiwa kujua ni kwamba Unamiliki Akaunti ya Benki yenye tarakimu 8 na kuendelea?

Mambo ya kumlaza njaa Mjukuu wangu haitapendeza

Akikuzalia mtoto wenu wa Kwanza basi mpe kazawadi hata ka IST awe anaendesha kwenda Kliniki 😜
Mzee hebu kavutie ugoro ndani, hapa nje utatuvulia msuli 🙄🤣
 
Kuna time nilikua na kila kitu cha kunipa furaha kasoro mwenza, hadi nilitoa tinred kwa gari nikihisi watu wanaona naringa labda kila kitu kilinikubali,hata kamali nilikua nikicheza nakula kiasi kukubwa cha pesa ila walinizunguka ni masnichi vibaya.

Pesa

Kupata marafiki ukiwa huna pesa ni ngumu sana ila ni katika time kama hizi ukiwapata wanakuwa real sana.

Kupata marafiki ukiwa na pesa ni rahisi sana ila kuwapata real ni ngumu maana kila mtu hukukaribia kwa interests zake binafsi. Kumbuka hata adui zako wanaweza kula nawe bata hadi morning

Kama unajihisi vibaya na unataka ule mguso wa kihisia halisia. Kasaidie maskini au watu wenye matatizo kama yatima au wale Tu waliopo hospitali, kuna watu wamekosa 2m ili wajitibie, ukifanya hilo, amini utajihisi vizuri sana kuliko kulewesha machawa wasio na shukrani
 
Back
Top Bottom