Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,108
9,216
Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
 
Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Niliozwa wake wawili wakati na miaka 18 na hawakunitosha. Soma;

 
Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Tafuta wimbo wa Mwasiti unaitwa SEREBUKA utakupa faraja sana

Wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa
Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi...
Wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda
Wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo

Labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria

Serebuka2 unaweza penda tena we

Wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka
Wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
Wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao
Wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe

Maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa
Maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa
Lakini yote mipango ya mola alichopanga
Lala lala eeh



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliozwa wake wawili wakati na miaka 18 na hawakunitosha. Soma;

Ngoja nipitie hizi notes mkuu
 
Back
Top Bottom