Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Mwanamke kwasiku anatongozwa na wanaume zaidi ya 3 kwa mwezi mmoja list ya wanamsumbua inafika 10 kuwa single ni kuamua aside hata na mmojs maana ticketi ya mwanamke kuwa kwenye mahusino ni kutamka tu "nimekubari" mwanaume tofauti kabisa

Hemu tumia ubongo kuchambua hoja mzee
wewe ni mwanaume so huwezi kuelewa, mambo sio marahisi kama unavyozani unaweza umalize miezi 6 hujatongozwa na huyo anaekutongoza unakuta ni mume wa mtu, au ni mtu asieleweka huwezi tu kusema ndio kwa kila mtu my brother kisa tu unahitaji mahusiano
 
Back
Top Bottom