Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,903
- 57,682
Kuungwa kwenye grid ya Umeme wa Taifa 😜Dawa gani mzee🤣, maana mi u single ni asili yangu😀🤣
Kuungwa kwenye grid ya Umeme wa Taifa 😜Dawa gani mzee🤣, maana mi u single ni asili yangu😀🤣
Arggh, Sina makando kando mzee.Kuungwa kwenye grid ya Umeme wa Taifa 😜
Kawaida tu bro kuna saa siku nzima inaisha hujapokea simu wala meseji yoyote zaidi ya meseji za voda na za matapeli ile hela rusha kwenye namba hii




That's Maturity perspective 👏👏👏Arggh, Sina makando kando mzee.
👉Beside kwa sasa sitarajii kuwa na mahusiano,. Natazama maisha kwa utofauti sana.
Why nipo hapa duniani, naishi kwa sababu ipi??
👉Is it about doing reproduction on Earth, U Kuna next step we Africans tunaeza fanya!! Grahams
Let's keep the race on mzee💪, Kuna siku naangalia documentary pale discovery channel.That's Maturity perspective 👏👏👏
Ukiona umefanikiwa kujitambua mapema hivyo, huna budi kumshukuru Mungu.
Wengi kwenye Umri wako, wameshakuwa waraibu either kwenye Uzinzi/Pombe/Madawa ya Kulevya n.k
Keep it up young man
Hamjazuiliwa kuvusha😄Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Bado tupo zama za mawe za kati 😜Let's keep the race on mzee💪, Kuna siku naangalia documentary pale discovery channel.
👉Baadae kukawa na mjadala fulani kwenye ki group Chetu, aisee sisi waafrika tuko nyuma ya wakati.
Tuna behave na ku act as if tuko Zama za utumwa
Yap ni kweli, Kuna muda una pata wazo na deal nzuri.Bado tupo zama za mawe za kati 😜
Kwa kweli Mungu awasaidie Vijana muweze kufikiri sawasawa, seems uwezo wenu wa kupambanua mambo umekuwa mdogo Kwa wengi wenu
Mimi ni mwanamke najua, na naijua sitution ilivyo kwasisi wanawake kwenye swala la mahusiano, ni mpaka usubiri kutafutwa na mwanaume, au ujitoe ufahamu ujilengeshe napo kuna mawili uonekane malaya uishie kuumizwa au ubahatike upate muelewa, either way situation kwa wanawake na wanaume ni tofauti, sasa mwanaume nyinyi ndo watafutaji unaamua leo nimtongoze yupi au nioe au nisioe, kuwahiyo kuwa single kwa mwanaume ni swala la kutakaTema mate chini mkuu Kuna nyakati hujawahi kuziexperience mshukuru mungu kakupitisha
mwanaume ndie anaetongoza mwanamke unasubiri kufatwaKivipi kujitakia nadhani mwanamke kuwa single ndio kujitakia sio mwanaume
Kuna kipindi mwanaume unaweza Togoza mademu hata mia ukakubaliwa na mmoja nae akakuzungusha na kukupa tunda asikupeMimi ni mwanamke najua, na naijua sitution ilivyo kwasisi wanawake kwenye swala la mahusiano, ni mpaka usubiri kutafutwa na mwanaume, au ujitoe ufahamu ujilengeshe napo kuna mawili uonekane malaya uishie kuumizwa au ubahatike upate muelewa, either way situation kwa wanawake na wanaume ni tofauti, sasa mwanaume nyinyi ndo watafutaji unaamua leo nimtongoze yupi au nioe au nisioe, kuwahiyo kuwa single kwa mwanaume ni swala la kutaka
wife material wapo sema nyinyi mnaangalia hiyo migube gube na matakao yao ya mchinaKwa hii migube gube iliyo jaa mjini?
kabisaYes mwanaume kuwa single mara nyingi huwa ni maamuzi tu nafikiri ni tofauti na wanawake.
Mwanaume kuwa single au bachelor huwa ni maamuzi tu
hakuna kitu kama hicho unless uwe unatongoza wale ambao wako nje ya uhalisia wako. Mfano diamond huyu mwanamuziki wanawake wote ambao ameshakuwa nao mpaka sasa, kama nyota yake isingeng'aa kwenye muziki na kupata mafanikio aliyokuwa nayo kiuhalisia hakuna kati yao ambae angemkubalil hata mmojaKuna kipindi mwanaume unaweza Togoza mademu hata mia ukakubaliwa na mmoja nae akakuzungusha na kukupa tunda asikupe
Sasa ndo wanawake waliokuzunga inamaana kwa mantiki hiyo wote wako njee ya uwezo wakohakuna kitu kama hicho unless uwe unatongoza wale ambao wako nje ya uhalisia wako. Mfano diamond huyu mwanamuziki wanawake wote ambao ameshakuwa nao mpaka sasa, kama nyota yake isingeng'aa kwenye muziki na kupata mafanikio aliyokuwa nayo kiuhalisia hakuna kati yao ambae angemkubalil hata mmoja
Mwanamke kwasiku anatongozwa na wanaume zaidi ya 3 kwa mwezi mmoja list ya wanamsumbua inafika 10 kuwa single ni kuamua aside hata na mmojs maana ticketi ya mwanamke kuwa kwenye mahusino ni kutamka tu "nimekubari" mwanaume tofauti kabisamwanaume ndie anaetongoza mwanamke unasubiri kufatwa