Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,091
Sijawahi hisi upweke wowote ni maisha mazuri kuishi peke yangu kuliko kuwa karibu na mtuWe jamaa ushawahi pata sonona ya upweke ni balaa
Sijawahi hisi upweke wowote ni maisha mazuri kuishi peke yangu kuliko kuwa karibu na mtuWe jamaa ushawahi pata sonona ya upweke ni balaa
Na hiyo TV uwe nayo.Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Kwa nini unafikiri hivyoHawez elewa
Mpeye kampani mtoto wa mama mkweMmeanza 😂😂😂😂
Yes mwanaume kuwa single mara nyingi huwa ni maamuzi tu nafikiri ni tofauti na wanawake.ila mwanaume kuwa single ni kujitakia mwenyewe tu
Watoto wa Kichagga endeleeni tu kuwa masingle. Labda mtajifunza mapenzi.Mimi kwasasa sijui ndo nmezoea upweke. Najionea sawa tu.
Hizo hizo unazo withdraw NMB. Muulize mtoa madaUnaziongelea pesa hizi hizi pesa?
#YNWA
Yaani😂😂😂dah nimecheka Kama nakuona vile ukiwa uchi teh watu wanaweza kukuona unawanga ndani
Picha ya magoti ya mbuzi mkuu😀Ni Mungu tu sikuwa na hela na nilikuwa nimepauka kama magoti ya mbuzi.Lakini kuna binti akanipenda kutoka 2011 mpaka sasa hivi.Ananivumilia kwa kila kitu.
Ngoja niitafute😀😀😀Picha ya magoti ya mbuzi mkuu😀
Hizo hizo unazo withdraw NMB. Muulize mtoa mada
Ukishindwa tupe Wazee kazi ya kukutafutia huyo MkaMwana.Kwel kweli Kaka nimepokea ushauri kwa mikono miwili Mungu na anifanyie wepesi
Mkuu Mimi nipo single pia 😀Ukishindwa tupe Wazee kazi ya kukutafutia huyo MkaMwana.
Tunauhakika wa kukuletea Pisi Kali yenye Elimu nzuri/Tabia njema/yenye hofu ya Mungu bila kusahau yenye Chura kama ya Snura 😜
Ndiyo nakupigia ndogo ndogo hapa ili jamaa alete Posa tukuoze Mjukuu 😜Mkuu Mimi nipo single pia 😀
Itapendeza sana 😀Ndiyo nakupigia ndogo ndogo hapa ili jamaa alete Posa tukuoze Mjukuu 😜
Kwamba umechoka kula ugali wa bure hapa nyumbani Kwa Wazee wako? 🏃🏃🏃Itapendeza sana 😀