Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Kuna siku nime sikiliza wimbo zaidi ya siku 2.
👉Waka jua nime safiri🤣😀
Hiyo yako ni extreme maana mimi masaa matatu kusikiliza wimbo mmoja labda uwe unanipa vibe nikiwa nafanya kitu flani😁😁😁😁

Ila zamani kuna sehemu niliishi niliwachanganya sana, nikiwa ndani hawajui na nikitoka hawajui. Kuna siku wanajichanganya wananipiga jungu wakati nipo ndani nawasikiliza 😁
 
Ulivyo toka Hawa kukimbia kweli🤣😀
 
Ulivyo toka Hawa kukimbia kweli🤣😀
Hapanaa na sikutaka wajue kwa sababu ilikuwa ni tabia yao kupiga majungu mtu ambaye katoka kwa wakati huo. Mbaya zaidi kati yao walikuwepo watu wenye career zao so, nikaona hawa hawatobadilika hata nikitoka na naliishi nao fresh tu hadi nilipoondoka
 
Uli wastahi vizuri, sema Mimi nisinge weza🤣😀
Hahaaaaa ukiweza kuishi kwenye jamii ya waswahili hakuna unafki hautoweza ustahimili..

Binafsi nikitoa energy yangu kwa mtu akifanya upuuzi bhasi ujue nathamini sana uhusiano wetu, nikipuuza ni aidha amenipuuza au la uhusiano wetu hauna umuhimu sana
 
Mi siku hizi nawa potezea tu,Kuna mwana wa karibu sana.
👉Nilivyo mkaushia haamini kabisa
 
Ishi humo mkuu ila usiangalie sana hisia kuliko life lenyewe na isitoshe kwa sasa uwezekano wa kukutana na watu real ni mdogo mnoo. Wengi ni wanafki bro, kwa hiyo ukiona unafki wa mtu, unamuwekea mipaka na kama ni wa kukuumiza haswa kwenye fursa ndio unamkata
 
Back
Top Bottom