Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Yatapita tu hayo..
 
Nina Wajukuu 2 humu wenye hivyo viwango.

Ila suala la muhimu ambalo kama Babu yao nitatakiwa kujua ni kwamba Unamiliki Akaunti ya Benki yenye tarakimu 8 na kuendelea?

Mambo ya kumlaza njaa Mjukuu wangu haitapendeza

Akikuzalia mtoto wenu wa Kwanza basi mpe kazawadi hata ka IST awe anaendesha kwenda Kliniki
Babu babu Nina tembo card master na hile Golden tilip wanaita alafu hao wajukuu zako hayo mambo sio ya Mloganzila kweli??
Babu nipe code za hao wajukuu zako nitume intellegencia yangu kwanza kujua yaliyomo yamo?
 
Upweke ni hatari Mkuu

Mwezi January nimepeleka Wanangu wote Shuleni - Bweni.

Pamoja na uwepo wa Bibi yenu, lakini bado nyumba naiona kubwa sana wakati huu as nilizoea zile pilikapilika zao za Mwezi December.

Nafikiria Upweke tutakaouishi watakapokuwa Watu Wazima na wameondoka nyumbani.

Fanya uoe walau utapata mtu atakayekuwa anakujali utakapokuwa unahisi Upweke
Hpa na yenyewe inahitaji maombi kupata mtu sahihi kinyume chake unaongeza tatzo
 
Basi ni kwa jinsia zote
Sio jinsia zote, u single ni kwa wanaume tu ukiona mwanamke yupo single ujue kaamua awe single kwasababu mwanamke akiamua kutembea tu kilometer 10 kwa mguu tiali kashaitwa na wanaume zaidi ya 5 na katika hao wanaume 4 wako na nina ya dhati kwake so mwanamke kuwa single ni ngumu kuliko kuwa kwenye mahusiano.

Kwa mwaume kuwa single kawaida first of all kuwa kwenye mahusiano he need to work your as** out, ulitongoza kuna kunyimwa namba, kuna kumwaga huna pesa nk uanze tena moja.
 
Back
Top Bottom