Waugwadu
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 520
- 922
Uko sahihi sana Mkuu, lakini pia ni muhimu sana kuwa na kichaka chako cha amani na furaha bila nguvu shinikizi au mtu wa nje.Mkuu shida sio furaha unajua sometimes unataka ata yule mtu wa kuwa naye siku nzima mnapiga story mnatoka ata kaout kidogo sijui unaelewa mkuu?
