Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Hpa na yenyewe inahitaji maombi kupata mtu sahihi kinyume chake unaongeza tatzo
Ni kweli

Upweke umefanya Wazee wengi kuwataka Watoto wao waolewe ama waoe ili wapate Wajukuu wa kucheza nao.

Maana kawaida Mtoto wako akishaanza maisha ya kujitegemea ni obvious anaondoka nyumbani kwako, hivyo utajikuta nyumba inabaki tupu
 
Mkubwa niwe muwazi, Mimi kuoa lands miaka 3-4 baadayem
👉Mambo ni mengi mnoo, kuwa mfaome lazima uhangaike
Ushauri wangu ni kuwa wakati unaendelea Kujitafuta basi hakikisha unaendelea kuilinda Afya yako.

Unaweza kujikuta umeanza kufikia mafanikio yako na Afya inaanza kuwa mgogoro, maana Siku hizi mabinti na Vijana wengi wanatumia dawa
 
Babu babu Nina tembo card master na hile Golden tilip wanaita alafu hao wajukuu zako hayo mambo sio ya Mloganzila kweli??
Babu nipe code za hao wajukuu zako nitume intellegencia yangu kwanza kujua yaliyomo yamo?
Hahaha............Wazee tunajua ku-pick

Wajukuu wote ni PisiKali kama msemavyo Vijana 🤗
 
Uko sahihi nimeliona hili kwa mzee wangu

Back
Top Bottom