Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.

Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Huyo mtu unataka uongee nae nini mkuu 😁

Ila ndivyo ulivyoumbwa mkuu, binafsi yangu hakuna kitu hunivuruga akili kama kukosa huo ukimya na utulivu kwa muda mrefu.
 
Kuna mtu alisema hii karne suala la 3rd floor na hujafanya mambo flan flan ni kama laana.

Hivi na kwa wenzetu iko hivi? Au ni Tanzania tu ndo 3rd floor inaangaliwa kwa macho manne?
Maisha yamekuwa juu. Wengine maokoto ni yale yale hayana increment miaka nenda rudi. Lazima uone mambo ni namna gani pale

Tusiongee kama third floor inatuchanganya 😁😁😁

Utani pembeni, ila kizazi chetu kimepagawa na maisha
 
Kuna mtu alisema hii karne suala la 3rd floor na hujafanya mambo flan flan ni kama laana.

Hivi na kwa wenzetu iko hivi? Au ni Tanzania tu ndo 3rd floor inaangaliwa kwa macho manne?
Maisha yamekuwa juu. Wengine maokoto ni yale yale hayana increment miaka nenda rudi. Lazima uone mambo ni namna gani pale

Nadhani ni issue global, 30 ya mwanzo ndo ishaisha, 30 ya 2 hakuna uhakika wa kuiishi na ukiangalia, unaanza kuifukuzia 40 na 50 na ramani haisomeki, unaanza kujiona failure
 
Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umetengwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Pole mkuu ila nikutie moyo usipaniki tulia tu utapata mtu sahihi usingle ni mpito tu jaribu kujiweka busy nenda kawatch mpira,mazoezi ,tafuta pesa na maendeleo usisahau kuomba.
 
Ukishindwa tupe Wazee kazi ya kukutafutia huyo MkaMwana.

Tunauhakika wa kukuletea Pisi Kali yenye Elimu nzuri/Tabia njema/yenye hofu ya Mungu bila kusahau yenye Chura kama ya Snura
Haaaaaah nyie wazee nataka pisi nyeusi Kama Mariam biriani afu iwe iwe ndefu kidogo nikitembea nae wanyakyusa na wasafwa wa Mbeya wanashtuka mtaweza Babu?
 
Kuna time nilikua na kila kitu cha kunipa furaha kasoro mwenza, hadi nilitoa tinred kwa gari nikihisi watu wanaona naringa labda kila kitu kilinikubali,hata kamali nilikua nikicheza nakula kiasi kukubwa cha pesa ila walinizunguka ni masnichi vibaya.

Pesa
Kweli mkuu hii shida sijui inakua nini?
Kumbe pesa sio kitu shida inakuja kwenye upweke mkuu
 
Kuwa mpeke sio upweke mkuu. Tengeneza kichaka chako cha furaha hata akija waubavu mnashea hiyo furaha. Lakini kama hauna furaha ukiwa mwenyewe hata akija mtu kwenye hicho kichaka ni majanga tu.
Mkuu shida sio furaha unajua sometimes unataka ata yule mtu wa kuwa naye siku nzima mnapiga story mnatoka ata kaout kidogo sijui unaelewa mkuu?
 
Screenshot_20240214_175256_Lark Player.jpg
 
Haaaaaah nyie wazee nataka pisi nyeusi Kama Mariam biriani afu iwe iwe ndefu kidogo nikitembea nae wanyakyusa na wasafwa wa Mbeya wanashtuka mtaweza Babu?
Nina Wajukuu 2 humu wenye hivyo viwango.

Ila suala la muhimu ambalo kama Babu yao nitatakiwa kujua ni kwamba Unamiliki Akaunti ya Benki yenye tarakimu 8 na kuendelea?

Mambo ya kumlaza njaa Mjukuu wangu haitapendeza

Akikuzalia mtoto wenu wa Kwanza basi mpe kazawadi hata ka IST awe anaendesha kwenda Kliniki 😜
 
Back
Top Bottom