Mwaka huu watu wamehama kwa single mama wamehamia kwa 30+Mmeanza 😂😂😂😂
Mwaka huu watu wamehama kwa single mama wamehamia kwa 30+Mmeanza 😂😂😂😂
Kuongea tena mpaka kesho kazini hii inakela Sana aiseeIle hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena

Mwanaume unataka kujaliwa kama mjamzito?Unafikiri ni swala la kuoa tu kaka sometimes unakuwa unawaza ata wakukutakia usiku mwema au Happy Valentine's my love unakosa dah!!
Hamna kupoa yan.Mwaka huu watu wamehama kwa single mama wamehamia kwa 30+
Hatari....mada zinafuatanaHamna kupoa yan.
Sawa mkuu ngoja nitafute bhana unifariji na hii Valentine'sTafuta wimbo wa Mwasiti unaitwa SEREBUKA utakupa faraja sana
Wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa
Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi...
Wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda
Wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo
Labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria
Serebuka2 unaweza penda tena we
Wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka
Wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
Wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao
Wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe
Maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa
Maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa
Lakini yote mipango ya mola alichopanga
Lala lala eeh
Sent using Jamii Forums mobile app


Mzee ukiwa single hupati mtu hakika

uje kujaribu hiiMkuu upweke ni ugonjwa mkubwa sana aiseeMimi kwasasa sijui ndo nmezoea upweke. Najionea sawa tu.
Asante sana aiseePoleni Sana.

Asante sana aiseePoleni Sana.

Aisee mzee hii mbaya sana unakuwa kama upo peke yako kisiwani sema maisha lazima yaendee ntazoea taratibuMwanzo niliteseka sahivi nimezoea bro imechukua miezi 6 upendo wangu kwake kufa sahivi hakuna tena hata chembe ya upendo juu yake na maisha ya peke yangu ndo ya furaha kwahiyo na wewe utazoea taratibu
Babu yani leo nimeamka nimewaza sana sana nimekuwa mpweke aiseeUpweke ni hatari Mkuu
Mwezi January nimepeleka Wanangu wote Shuleni - Bweni.
Pamoja na uwepo wa Bibi yenu, lakini bado nyumba naiona kubwa sana wakati huu as nilizoea zile pilikapilika zao za Mwezi December.
Nafikiria Upweke tutakaouishi watakapokuwa Watu Wazima na wameondoka nyumbani.
Fanya uoe walau utapata mtu akayekuwa anakujali utakapokuwa unahisi Upweke
kuna umuhimu wa kuoa aisee ngoja nizichange mambo yakae sawa nivute jiko.Kuoa Muhimu MkuuBabu yani leo nimeamka nimewaza sana sana nimekuwa mpweke aiseekuna umuhimu wa kuoa aisee ngoja nizichange mambo yakae sawa nivute jiko.
Yani Kama hii Valentine's even a text olaa! Dah! Babu niombee
Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
Kawaida tu bro kuna saa siku nzima inaisha hujapokea simu wala meseji yoyote zaidi ya meseji za voda na za matapeli ile hela rusha kwenye namba hiiAisee mzee hii mbaya sana unakuwa kama upo peke yako kisiwani sema maisha lazima yaendee ntazoea taratibu