Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

Ngoja nikuongeze stress 28yrs Nina mke na watoto wawili differ mother..

Nilipata kazi teenage yrs 19yrs..

Sema nini mzee yasikutishe Ma umr!
Unapoishi usisahau kuish!!
Ngoja nikustopishe kunipa stress 28 yrs nina mtoto mmoja alafu kidume,sema nini mamaake siishi nae kwasababu ya mm kuhama hama kutafuta huku na kule.

Kwa ushauri wa paragraph ya mwisho,nashukuru kwa ushauri.
 
mi' naumia sana ninapokutana na vitoto vizuri barabarani vinaniamkia. nakufa moyo ninapovitongoza vitanikatalia. nikatest kwa cha jirani, kilivyonijibu niliwaza siku nzima "we baba koma, na uzee wote nitakupeleka wapi?"

vitoto virembo chuchu wima navipenda, ila naona umri unanitupa mkono kupita navyo
 
Ukubwa majukumu. Kuzeeka lazina, kuchakaa uamuzi
Ronaldo ni mdogo kwa Rooney
Masudi kipanya ana miaka 52, Dully sykes 42, Kikwete 73, mzee. Ruksa 98, Magufuli alikufa na 62, Skudu ana 30, Onyango 25. Umri ni namba tu usiogope
Au ulimaanisha Ronaldo ni mkubwa kwa Rooney?
 
Kila nikihudhuria msiba huwa naangalia vile vibao vya makaburi halafu nalinganisha na umri wangu maana kuna wengi tu walifariki wakiwa chini ya miaka 18.. Swali kubwa huwa najiuliza je, mfano nikifariki kesho nitakuwa najutia nini zaidi ??..

Je, nimezitumia kwa kiwango gani potential na experience zote Mungu alizonipa ?..

Hapa lazma kichwa kiwake moto
 
Back
Top Bottom