Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

True, kule wameshika sana dini, halafu wapishi wa kipemba hawapendi kukirimu wageni Wagalatia!, kiukweli kuna watu tuna dhambi!, mkisikia tunaadhibiwa!, acheni tuu tuadhibiwe!, mtu unadanganya uonjeshwe na ukipendezewa, eti uko tayari kusilimu!, mtu hadi unavaa kanzu na baraghashia ili tuu ukirimiwe, ukaribishwe chakula!.
P
Hii inanikumbusha enzi za ujana nilikwenda kwenye mkesha wa xmass ili tu niambulie chakula. Ili kukamilisha hili nilijiaminisha kwa familia yote ya mpishi kuwa mimi ni mcha Mungu mno kiasi cha kualikwa kwenda nao kwenye mkesha. Plan ilikuwa tuchomoke na mwenzangu tukale vyetu.

Yule mzee alikuwa mafia nahisi, alinitight mpaka dakika ya mwisho bila kunipa upenyo hata wa kutoroka.

Haya yote nilifanya ikiwa mimi ni Muislam thabiti. Things we do for 'food"
 
Paskali ni noma nimesoma hayo mataifa alowahi kula chakula dah😅😆 msululu...
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, tunapenda sana kula vyakula vizuri!, enzi zangu za ujana, ningewapanga... ingekuwa ni kutoka Tegeta mpaka Feri!.
Sijui kuna hoteli gani Dar sijapiga menu yake!.
P
 
🤣🤣✌ mkuu Taifa lipi lina chakula delicious kati ya yote ulowah kula?
Kwanza the taste is the atitude of mind!. Tumeishi South the food looks so tasty, I never enjoyed the South African meals, ugali wao wanaita pulp they are bulky but tasteless!. Sasa sisi watu wa kula kula nimerudi second time with another friend, umefikia the same place the same club mpishi kakuona anaamua kukuletea chakula kumbe wewe umepanga kubadili mboga hivyo unazuga umeshiba!. At the same time rafiki uliye nae anapendezewa, una mu introduces. Next day jamaa anakuambia the food was so delicious!.

Hii imenikuta kwa Ethiopian restaurants, mapishi ya Wahabeshi, the foods looks so tasty but..., hata Wasomali na Wanyarwanda!.

Halafu Baganda... ni hatari ya danger kama Vyakula vya Kihaya, nsenene zisikie tuu!.

Kwa Bongo, vyakula vya Kitanga... so delicious, ila pia kuna vyakula kama vya Kizaramo, Lindi na Mtwara, they don't look so tasty but...

Hivyo nika concludes the taste is just an atitute of mind ila pia environments inachangia, vyakula vya tropical Africa ni very hot, vyakula vya kizungu, very cold!.

Kuna mpishi fulani wa Tanga ni Dr. Tulikutana JKT Makotupora, anapikia mitunduruni, asali itasubiri.

Baada ya JKT akaenda kusoma medicine Urusi Rostov kwe barafu. Mimi niko US, wakati wa likizo, akanialika, akajitahidi kupika yale yale mapishi ya Kitanga, ile asali sikuiona tena!. Imepotea!. Alipomaliza Shule akarudi Bongo, nikamfata Tanga, nikapikiwa, huwezi amini, utamu wa vyakula vya Kitanga kitanga ukarejea!. Akaja kuolewa, nami nikaoa. Baadae akahamia nchi fulani ya baridi, siku niko kule FB status ikamuonyesha, akanijia juu unawezaje kuja hunitafuti!, nikamwambia niliogopa mke wa mtu!. Kumbe Mr. wake amesafiri!, si akaamua kuja hotelini kwangu!. Ndio uzuri wa urafiki wa no strings attached, kama utani vile, mara tulipasha kiporo!, but I found nothing!, sijui ni ile guilty conscious, mbona most the forbidden fruits is the sweetest, so nikajiuliza why?. Niliporejea US kwa mali zangu mwenyewe ndio nikapata uthibitisho, chakula cha hot weather ni hot, na chakula cha cold weather ni cold hata kama utakipasha na microwave!.

Kiukweli kama ni kula!, watu tumekula hadi misosi ya Bungeni, Ma RC na vyakula vya ubalozini zile party za Watanzania... tumekula sana!.
P
 
🤣🤣✌ mkuu Taifa lipi lina chakula delicious kati ya yote ulowah kula?
Kwa kuongezea taste ya utamu wa chakula pia unategemea rangi, bahati mbaya sana sijawahi kuenjoy vyakula vya kizungu kama macaroni laini laini, spaghetti etc, kwangu ni tasteless, ila ngozi nyeusi..., hata hizi ngozi nyeusi, the darker the skin, the sweeter the meat, kama ilivyo kwenye nyama, the nearer the bone, the sweeter the meat!. Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.
P
 
Visa vya Misosi,
Hizi ni true stories za yaliyonikuta!.
There are times the home cooked meals are more delicious, than vyakula vya hoteli, hivyo nikifika baadhi ya nchi, nawauliza Watanzania sehemu za vyakula vya kibongo.

Kuna baadhi ya nchi mpaka tuna hotels za Wabongo mfano Jo Burg.

Tena kuna wakati nilikuwa nchi fulani, Balozi ananijua, akanishauri huna haja ya kulipia hotel, kwangu nina guest wing, save your dollars!.

Kumbe mke wa Balozi ni house wife, halafu Balozi anawakilisha more than one country.

Mimi without knowledge kuwa Balozi kasafiri, nikiwa kwenye safe house sina tabia ya kufunga mlango, ila sizimi taa, mara around saa 7, naona mtu anafungua mlango bila kugonga na kuzama chumbani huku amevaa a transparent night dress!,
Samahani shemeji nimekuja bila hodi nilipoona guest wing taa iko on nikajua umelala hivyo nimekuja kukuzimia taa ila kuna bed light kama unaogopa giza!. Mbona hilali?, nikajibu sina usingizi!, akachukua remote mezani na kuniwashia TV, kumbe kule kuna channels za PPV, ameweka na kuniambia huku amejilegeza kitandani!, kiukweli Roho Mtakatifu alinishukia na kunipa uwezo wa kuepuka kishawishi hicho!.

Kuna wanawake wengi wanadhani ukimuwekea mwanaume video zile na kuji avail yourself dressed suggestively, no man can resist, kwanza nilishika remote na kuzima TV, kisha nikamshukuru politely kuni take care nikasema nitazima taa, na kumuwish good night. Akaamka huku amechoka sana!.

The remaining days za ugeni wangu hapo kwao, was agonizing to her!, hivyo pamoja na kula kula yangu yote, sio kila nikiona msosi nafakamia, kuna misosi mingine mtu unakaribishwa na huku una njaa lakini huli.

Huyo mke wa balozi mpaka leo yupo? Duh..hatarious
 
kuku wa malaysia pale kuala lumpur natamani kurudi kwa ajili hiyo, wanapakwa ngano kwanza then wanakaangwa yaani test moja restaurant zote kama kfc
 
Visa vya Misosi,
There are times the home cooked meals are more delicious, than vyakula vya hoteli, hivyo nikifika baadhi ya nchi, nawauliza Watanzania sehemu za vyakula vya kibongo.

Kuna baadhi ya nchi mpaka tuna hotels za Wabongo mfano Jo Burg.

Tena kuna wakati nilikuwa nchi fulani, Balozi ananijua, akanishauri huna haja ya kulipia hotel, kwangu nina guest wing, save your dollars!.

Kumbe mke wa Balozi ni house wife, halafu Balozi anawakilisha more than one country.

Mimi without knowledge kuwa Balozi kasafiri, nikiwa kwenye safe house sina tabia ya kufunga mlango, ila sizimi taa, mara around saa 7, naona mtu anafungua mlango bila kugonga na kuzama chumbani huku amevaa a transparent night dress!,
Samahani shemeji nimekuja bila hodi nilipoona guest wing taa iko on nikajua umelala hivyo nimekuja kukuzimia taa ila kuna bed light kama unaogopa giza!. Mbona hilali?, nikajibu sina usingizi!, akachukua remote mezani na kuniwashia TV, kumbe kule kuna channels za PPV, ameweka na kuniambia huku amejilegeza kitandani!, kiukweli Roho Mtakatifu alinishukia na kunipa uwezo wa kuepuka kishawishi hicho!.

Kuna wanawake wengi wanadhani ukimuwekea mwanaume video zile na kuji avail yourself dressed suggestively, no man can resist, kwanza nilishika remote na kuzima TV, kisha nikamshukuru politely kuni take care nikasema nitazima taa, na kumuwish good night. Akaamka huku amechoka sana!.

The remaining days za ugeni wangu hapo kwao, was agonizing to her!, hivyo pamoja na kula kula yangu yote, sio kila nikiona msosi nafakamia, kuna misosi mingine mtu unakaribishwa na huku una njaa lakini huli.

P
Vijana wa kula tunda kimasikhara, njooni muone muhenga aliwaangusha tena ughaibuni!

NB. Kwa vile vyakula vipo vya aina nyingi, na vinaliwa wakati tofauti tofauti, mfano cha asubuhi ambacho ni breakfast, cha mchana ambacho ni lunch, na cha usiku ambacho ni dinner, it's worldwide believed kuwa kitamu zaidi sio cha asubuhi au cha mchana bali ni cha usiku!, hivyo hapa mimi nazungumzia kile 'chakula cha usiku!'!, na ndio maana mialiko mingi ya chakula cha usiku hutanguliwa na kualikwa dinner au kutolewa out, kisha unaishia kujilia!.
Nyie wazee huu ndio 'wosia' mnaotuachia ?......jamii imechafuka hii..
 
It's about being truthful to yourself and very transparent to the society kuhusu mapito yetu tuliopitia, hata ukisikia jamaa amechomoka, utasikitika kwa sababu ulimfahamu, lakini sio kumlilia but to celebrate his life kuwa he lived his life to the fullest!. Mungu ametuleta duniani ili tule raha, ndio maana Eva akamegwa tunda akapata raha, akamlazimisha Adam kumega tunda, wakala raha na kuishia uzingizini!. Mungu ametuumba kula raha!, life is all about kula raha, hivyo kama ni raha tumekula sana na tumefaidi sana tuu!.
P
 
Back
Top Bottom