Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,955
- 828,658
sa unaona depression zinavyokuchanya? ECT milembe inakuhusu wewe pole sana aiseeUmenichanganya na bwanaako Nini?
Natumia skanka ile yenyewe sio hizi za bei ndogo😎Kweli eeh 🤔 ila bro una nondo
umepata mteja Seran 😂😂😂Natumia skanka ile yenyewe sio hizi za bei ndogo😎
Sahihi, mie wakati mwingine nikisoma QURA'AN huwa inanisaidia sana.Nikiwa na Stress nachukua baiskeli huyooo mdogo mdogo nazurura mpaka narudi home Niko sawa
Muulize Kaka Mshana mkuu. It seems your still an amateur inside this mad world.Biblia ninayo bado msuba! Msuba ni nini?
Nauza viberiti vya gas wakuuUsijali utapata ile yenyewe platinum kabisa😁
Harmful
Unajua kucheza na fursa ndugu yangu kwa nini hukusema ile siku kwenye ule uzi wa wavuta bangi 😁Nauza viberiti vya gas wakuu
na tafuta soko la uhakika najua nyie hamuwezi kuacha kuniungisha tofauti na wengine 😂Unajua kucheza na fursa ndugu yangu kwa nini hukusema ile siku kwenye ule uzi wa wavuta bangi 😁
Ila kabla ya kutumia pitia uzi wa mshana akizungumzia haifai kuvuta ukiwa una fanya meditation ukifanya hivyo utahamia mirembe😁Matokeo yake ni chanya si ndio🙂