Mmh!Hebu tuzione dosho labda zitanisaidia mimi pia☹️
Nilitaka kukucheck Pm naona kuna komeo la chuma.
Mmh!Hebu tuzione dosho labda zitanisaidia mimi pia☹️
Wala hakuna tatizo.Kwani kuna tatizo mkuu?
Atakaa tu sawa bwashee ,tatizo lake lisha fika mezaniPata muda wa kuitafakari hii hali yako na tamani kuitatua sasa ,usijipe mawazo kupitiliza sana jambo likienda ndivyo sivyo kubali ndiyo dunia ndugu ,ukijifunza kuzikubali changamoto zako nakuona ukiondokana na hii hali .
Ila zaidi sikushauri kujitenga punde uwapo na stress si nzuri kwa afya yako ya akili ,Dr MIN-min uko wapi ,una client huku .
Pole sana .