Ulishawahi kupata stress?

Ulishawahi kupata stress?

Mwanaume akiwa na stress utasikia
Komaaa! We mtoto wa kiumee!!
Oya kakamaa kiume! Kazaaa!

Mwanamke sasa, Oh! Pole sana. Watu wana miminika kutoa ushauri, pole na faraja.

Huu uzi ungeletwa na mwanaume, ungesikia Oya komaa! Acha kulia lia.

Mwisho wa siku mkisikia mtu kajinyonga, Mnaanza, Daah! Jamaa alikuwa mpole sana! Msela alikuwa mtaratibu sana!
 
Unataka kusemaje?
 
Migraine ni nini? Unanitisha 🥺
Matatizo ya kichwa. Hio kujifungia sehemu hutaki hata mwangaza ndio dalili zake hizo. Plus kutopenda kelele. Ikiwa chronic ndio inakuwa hivyo. Inatesa mnooo
Lkn kwa mengine uliotaja hapo likely una shida ya sonona
Do something quickly.
Km upo na kitu kinakusababishia depression na unaweza kuachana nacho basi achana nacho...iwe kazi, mahusiano...n.k
 
Matatizo ya kichwa. Hio kujifungia sehemu hutaki hata mwangaza ndio dalili zake hizo. Plus kutopenda kelele. Ikiwa chronic ndio inakuwa hivyo. Inatesa mnooo
Lkn kwa mengine uliotaja hapo likely una shida ya sonona
Do something quickly.
Km upo na kitu kinakusababishia depression na unaweza kuachana nacho basi achana nacho...owe kazi, mahusiano...n.k
Sawa dear, acha nitupilie mbali maana stress zitaniua🥲
 
Pole sana hii hali niliwahi kuipata kipindi nipo homeless kule Denmark sio powa nikiwahi kupata sonona kali sana insomnia ni hatari sana niliponea kwa wana saikolojia tu ndugu yangu mtafute mwana saikoloji chapu pole sana
 
Asante rafkiangu! Nitafanya hivyo! Japo nimegundua nikiongea na mtu tu natoa machungu yote then nakaaa sawa🥲
 
32884fc77f3d4626b88d5788db1e4e99.jpg
 
Back
Top Bottom