Ulishawahi kupata stress?

Ulishawahi kupata stress?

Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya!

Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea na watu,sitaki mtu anipigie simu, sijisikii kwenda kazini na hata nikienda sijisikii kuongea na watu ni tumbo joto tu, nataka kukaa mwenyewe chumbani ata siku mbili hadi 3! Natamani chumba kisiwe na mwanga uwe wa mbali sana! Nakaa tu ndani na siwezi kufanya chochote! Sitamani kuoga, kula sebleni wala kupika japo itanilazimu sometimes😩

Hivi na nyie mnapitia hii hali mkiwa na stress au ni mimi tu?🥺
Umeacha kuwa shoga umeokoka siku hizi? Bwana frankie maston
 
Kuna siku nilikuambia wewe una chronic psychosis pamoja na schizophrenia ambapo hapa cognitive therapy au psychotherapy lazima itadunda tu unatakiwa upate Eletocovulsive therapy ( ECT) la sivyo lazima uatempt sucide
 
Binafsi nikiwa na huzuni inaniletea sonona sijui huwa ni kwanini najisikia hivi, kitu kikinikosesha raha kabisa nawaza sana mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi kila nikifikiria upya!

Mbaya zaidi inanipelekea nakosa hamu ya kula, hata nikila naonja onja tu,napata homa ya ghafla, sijisikii kuongea na watu,sitaki mtu anipigie simu, sijisikii kwenda kazini na hata nikienda sijisikii kuongea na watu ni tumbo joto tu, nataka kukaa mwenyewe chumbani ata siku mbili hadi 3! Natamani chumba kisiwe na mwanga uwe wa mbali sana! Nakaa tu ndani na siwezi kufanya chochote! Sitamani kuoga, kula sebleni wala kupika japo itanilazimu sometimes😩

Hivi na nyie mnapitia hii hali mkiwa na stress au ni mimi tu?🥺
Mimi nikiwa Sina hela hata sauti haitoki nikiongea,nahisi kuumwa si kuumwa! ......aliyegundua pesa atiwe kwenye moto mkali wa jehanam! kaleta shida juu ya shida!
 
Oga, vaa vizuri, jipake manukato upendeze kabisa na baada ya hapo toka hapo ndani uende ukaifurahie dunia.

Kukaa ndani kunakuza tatizo, kukaa peke yako kunazidisha mawazo, ongea na watu ili upumue hewa mpya na mawazo mengine.

Kimbe ndio maana leo ulillkataa kuongeana mimi?🤣🤣
 
Naoga mkuu😅

Mbona hapa naongea na watu wengi kwa mkupuo!😅 ata nikiwa normal sipendi tu kuzurura mara nipo na majirani mara sijui nini! Ni hekaheka ambazo sina tu..

Na sijakataa kuongea na we mzee!
 
Nimesema leo uoge vizuri, uvae kale kasketi kako au kagauni unakokapenda, paka manukato unukie vizuri halafu uende mahali ukae, ule vizuri na kunywa kiasi, ongea na strangers achana na hawa unaowajua kila siku.

Hii ya mtandaoni ndio inakuza tatizo, tunakaa na simu mda mrefu hadi zinaharibu saikolojia yetu kama binadamu.
 
Dahh mbona siwezi😅

Wacha niongee na rafikiangu tufanye hilo jambo, wazo zuri ila solo date ilishanishinda kabisa!
 
Mnaagua tu, hamjui lolote 🤪
c35392bb-bb61-4b14-8d13-9033f0afe9e2.jpeg
 
Back
Top Bottom