Ulishawahi kupata stress?

Ulishawahi kupata stress?

Duhh pole sana! Mbona kama ni mimi😅

Nakutania bana, nikiwa na stress zangu huwa napenda nideal nazo mwenyew ili nisikere watu! Mara nyingi sitoki ndani kwangu! Au nitakuwa kimya tu kama leo sijaongea na mtu tangu asubuhi🥲

Kwahiyo ndiomaana napenda tu kukaa mwenyewe🥹
Hahaa,we ni msukuma? Yaani yule msukuma jambo dogo tu anakasirika kwa kiwango cha juu mnoo...na hawezi kujizuia..na ni mdada alikuwa na kazi nzuri tu serikalini ila weakness zake ni hizo kuwa na short temper.
 
Shem Seran pole sana aisee.

Ni dalili za Depression.
Inabid ujitahidi kuicontrol.

Kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako au ambacho kwa muda huo huwez kukibadili kisikupe stress kubwa hizo. Maana hata ukizipata Haziwez kukiondoa. Sanasana kitakudhuru ww.

Kuwa na mawazo ni sawa. Ila yasizidi. Ukashindwa kufanya mambo mengne ya msingi.

Kabla ya kwenda therapy na kutumia dawa.
Hebu jaribu kupambana nayo mwenyewe. kwa kujifanyisha ubusy. Kuongea na sim nying za ndugu jamaa marafiki.

Mm sijawah kufikia hiyo state.
Ingawa disappointment . Masononeko na maswaiba mengne yananipata kama binadamu. Ila nimechagua upande.

Wa kuwa Kama siwez kukicontrol kitu. Siwez jipa stress nacho.
Ntawaza napambanacho aje. Kama naona sitoboi. Na acha fate ichukue mkondo wake. I cant change it anyway. Why nisononeke kupitiliza?.
Najitahidi sana! Zamani nilikuwa nakunywa dawa nife ila sifi😂 siku nilimeza flagyl na beer lkn wapi! Siku moja nikazitapika zote! Ni miaka mingi imepita naona naanza kukomaa saiz nimebaki kujifungia tu ndani! Sina watu wa kuongea nao zaidi nisome nyuzi za humu nichoke nihamie tiktok au insta nimalize nilale😫

Acha tu shem sio poa🥲
 
Mie nikiwa stressed ndio napenda kujichanganya zaidi na watu, niende kuogelea, nikacheze mpira na washikaji, nisikilize muziki..
Nikikaa pekee yangu na kufikiria sana, huwa sichelewi kufanya jambo ambalo linaweza nigharimu

Muda mwingine, nisome QURAAN huwa inanisaidia kwa kweli
 
Hahaa,we ni msukuma? Yaani yule msukuma jambo dogo tu anakasirika kwa kiwango cha juu mnoo...na hawezi kujizuia..na ni mdada alikuwa na kazi nzuri tu serikalini ila weakness zake ni hizo kuwa na short temper.
Mimi sukuma na nna hasira😁 japo naweza kuzicontrol kama sio jambo la kutisha nabaki tu nmekasirika siongei!
 
Pata muda wa kuitafakari hii hali yako na tamani kuitatua sasa ,usijipe mawazo kupitiliza sana jambo likienda ndivyo sivyo kubali ndiyo dunia ndugu ,ukijifunza kuzikubali changamoto zako nakuona ukiondokana na hii hali .

Ila zaidi sikushauri kujitenga punde uwapo na stress si nzuri kwa afya yako ya akili ,Dr MIN-min uko wapi ,una client huku .

Pole sana .
 
Mie nikiwa stressed ndio napenda kujichanganya zaidi na watu, niende kuogelea, nikacheze mpira na washikaji, nisikilize muziki..
Nikikaa pekee yangu na kufikiria sana, huwa sichelewi kufanya jambo ambalo linaweza nigharimu
Nikiwa na Stress nachukua baiskeli huyooo mdogo mdogo nazurura mpaka narudi home Niko sawa
 
Stress kukaa nayo ni siku 1 tu.
Nikishalala . nikiamka nishaizoea.

Na kila kitu kingne ntafanya kama kawaida na pengne watu wa karibu hata mwenza asigundue.

If you can’t control it, don’t let it control you.
Na If you can control it, take action.

Sheria yangu iko simple.

Usikae ndan sasa shem. Pigia shost wako mmoja. Toka nenda bar. Ukaonje ladha ya serengeti apple. 😁😁😁😁. Kabia labla kazur kale kakakuliwaza.
 
Najitahidi sana! Zamani nilikuwa nakunywa dawa nife ila sifi😂 siku nilimeza flagyl na beer lkn wapi! Siku moja nikazitapika zote! Ni miaka mingi imepita naona naanza kukomaa saiz nimebaki kujifungia tu ndani! Sina watu wa kuongea nao zaidi nisome nyuzi za humu nichoke nihamie tiktok au insta nimalize nilale😫

Acha tu shem sio poa🥲

For sure, Ni Depression uko nayo.

Good thing ni kuwa umesurvive na ni kweli unazidi kuimarika.
Ila usikae ndan sasa. tena uko pekeyako...

Hebu toka nje tembea tembea.
 
Nishapitia sana situation za hvo, mara nyingi hua naingia you tube naangalia nyimbo za zamani za kikongo, kihindi au kibongo, naingia Facebook & Instagram naangalia video mbali mbali za wasukuma wanacheza nyimbo zao, naangalia wakenya wakifanya vituko, wanaigeria na Ghana.

Muda mwingine nazama kijiweni kucheza pool table, mpira wa miguu au draft.

Kama ni hali napitia kwa muda mrefu naangalia contact nanyakua pisi moja napoa nayo siku mbili tatu hapo lazima ubongo ukae sawa.
 
Back
Top Bottom