Ikawaje.... Ulieendelea kuwa unamla rafiki mtu ama ulikuja kumrudi mtu wako? Je story ikaisha
mpk leo nikirudi huko alipo nakula mzigo ila huyo manzi mwenyew kahama huo mtaa ipo siku ataingia kwene 18 zangu tu..

nyingine hii hapa...

kazi ninayofanya inanikutanisha na watu mbali mbali wa kila aina, sasa siku moja alikuja mama mtu mzima na binti mmoja ivi matata sana..nikamhudumia vzuri sana then baadaye nikamuita yule binti piga story mbili tatu nikachukua namba

kumbe yule ni mama yake mzazi na walitokea mkoa jirani...mwendo wa masaa 3 ivi mpk kufika, zikapita wiki 2 nikamchek nakumbuka ilikua weekend ya pasaka kwahyo nikamuahidi nitaenda kumsalimia akakubali..nlisafiri asubuh na mapema mida ya saa 5 nipo geto kwa mtoto..kapika tukala pasaka vzuri kabisa

story zikaendelea na movie mpk jioni mida ya saa 1 nikamuaga me narudi akasema mda umeenda ishakua usiku, analeta masihara ooh malizia movie,mara subiri kidogo uondoke saa 2, mara akaanza visa kanisogelea nlipokaa kwene sofa, moyoni najisemea hii penalt naipasia nyavu bila hiana..nikaamka nkafunga mlango

nikarudi alipokaa nikaanza chenga za ronaldo..nikambeba mpk chumban piga sana p*mb* na nikalala mpk asubuhi..baada ya wiki 2 ananitumia msg ana mimba, kwa kifupi haya masihara yamenifanya niitwe baba sasa..
 
Vipi baada ya kuitwa baba ndo imekuwa mwisho au ndo ushavuta jiko ndani mnaishi pamoja ?
 
Muhimu sana kujifunza ipi itmike na kwa wakati gani... La sivyo ntamaliza mwaka marehemu au jela
 
Kuna kila dalili ya kubebeshwa mimba mtu.

Wiki 2 keshaanza kelele kuwa ana mimba?
 
Hili lisha nikuta.... Ila tatizo lilikua sikumpa kifuta jasho inawezekana na ww hivo hivo hukumpa ya mkate
 
Bro simshangai huyo jamaa
Nilishawahi kununua hizo dawa kwa 24,000 pale Stop Over Pharmacy
Nahisi wakikuona umepanic wanakuropokea Bei kubwa
Kweli mkuu, ila mimi sijawahi tajiwa zaidi ya hizo bei, tena za 10 mwanzo sijazijua vizuri.... Na hizi ni kwa kkoo, kawe, mwenge, sinza, manzese[emoji3], tabata, magomeni, tegeta, mbagala na gomz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…