kimwery
Senior Member
- May 15, 2019
- 127
- 100
Wazazi wengi siku wanafanya hivyo na nina mdogo angu pia nimefanya hivyo. Baada ya matokeo ya form four kutokaa sawa Nilimwambia asijicheleweshe kutafuta credit aende chuo moja kwa moja kuanza certicate na sasa yuko Diploma na atamaliza Diploma akiwa mdogo tu katika umri unaofanana na wa huyo mwingineLabda alivyomaliza form 4 akaenda chuo directly.. A-level hajagusa kwa apo tutaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hiyo ipo sana na ni wengi tuHat wa kiume pia San tu, me mbna nlmalza o level nkiwa na 16, ni kawaida kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshu sio kukosoa.. Kuna vitu vingine inabid tu u reason.. Ndio maana mwishoni apo kwnye io comment yangu nimesema Labda mim tu ushamba wangu.. Sijui kama ma she wanamaliza shule mapema ivo...
Alafu iz inshu sio mashindano kwaio mtu akijalibu Ku reason kawaida tu ww mueleweshe.. Kuna watu wanaisi wanashindana hapa.. Hahahah ww njoo toa kisa chako watu wa enjoy.. Ila unaangalia na story zako isije Kua kama yule jamaa aliemla Bibi wa miaka 60 + na akashika mimba..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaliza form four na miaka 15.Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂🙌🙌Ukimwi ni selective sana,kama huamini acha.
weka na wewe chai yakoKwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..
Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??
Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??
Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)
Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..
Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....
Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazingua mazeee mikito mzee wa chai apumzike tuu. Achen kumwitamikitooooooooooo..........we mikitooooo....upo wapi....?????????????
uyu mwamba angeenda akarantini tu kwanza walau miezi mitatu ila asiwe na korona [emoji1][emoji1][emoji1]Corona imepumzisha uzi mpaka tunatamani hata story za Mikito Mikito
AMANI YA BWANA IWE NANYI WAKUU
Amebaki kuwa rafiki, yaani kila jambo lake la Siri ananipigia kuniambia.Mkuu hukuendeleza kujilia mavitu baada ya hiyo show ya kwanza maana kwa jinsi ulivyomtendea haki siku hiyo ni wasi asinhekomea hapo hebu tupatie update baada ya hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mdada?!Mimi mtoto wangu ana miaka 15 sasa yuko form2 atamaliza form4 akiwa na 17
akienda kakozi ka mwaka na kubahatisha kaajira hatazidi 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni baharia tu, ndo ameanza safari ya kula KIMASIHARA.Did you see her beauty in that story ?
Mmeamua kutumia uzi pendwa kujipromoHii hapa simulizi kali ya kichawi yenye mapenzi inayosisimua
Gusa link hapo chini
Simulizi ya kusisimua- (penzi la mfungwa) - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu mmemabiwa yule alikua field, na mkumbuke ma nurse wakiwa field huwezi kuwajua kwakua wanavaa jezi kamili,Mimi mtoto wangu ana miaka 15 sasa yuko form2 atamaliza form4 akiwa na 17
akienda kakozi ka mwaka na kubahatisha kaajira hatazidi 20
Sent using Jamii Forums mobile app