Ulishawahi kula tunda kimasihara?
tina wangu
Duh watu wana mikasa....Anyway chuo kimoja arusha ngaramtoni kuna mdada alikua ni famasia alikua na pharmacy yake , siku hio natoka zangu maclass nikawa nasikia kama kichwa kinauma nikasema ngoja niende pharmacy nichukue dawa, kulikua na pharmacy fulani nzuri maeneo ya chuo, nikasema ngoja niingie hio hio, naingia tu nakutananna na mdada mrembo sana, na koti lake leupe na tight jeans iliyomkaa vyema, sio mrefu wala mfupi, inshort alikua mzuri, kipotabo kiasi, kanikaribisha , namuambia "nahitaji paracetamol unazo? "

Akaniambia anazo, akawa ananiuliza maswali na kunipa Pole nyingi, katika maongez akaniambia yeye anaishi maeneo hayo hayo, nikamwambia kiutani "ntakuja basi Kula chakula cha usiku kwako", mana sina wa kunipikia na I don't feel okey, akanijibu haina shida ntafurahi ukija..

akaniachia namba ya simu nami nkampa zangu, usiku akapanda hewani akawa ananisubiria mahali ili nimkute hapo twende kwake, hatimaye nikamkuta hapo then tukaelekea kwake , nikakuta nimeandaliwa mapochopocho kibao, nikala weee..tukawa sasa tunapiga stories.. mwisho wa siku we found ourselves on the bed, we *****ed sana sana sana, miguno aliyokua anatoa uwiiiiiii....najiuliza hadi Leo zile nguvu za ziada zilitokea wapi, mana it was all night ..kama kupumzika tulipumzika mara chache sana.....after that kumbe in few days anasafiri, aiseee nilidata, tukawa tunawasiliana but suddenly mawasiliano yalikatika, nilimtafuta hadi Leo sijui nini kilimpata Tina wangu....it was one night but it was a sex I never had ..one of a kind..[emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Jamani Tina uko wapi wewe nakutafuta sana ...[emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..

Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??

Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??

Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)

Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..

Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....

Nawasilisha... By caglar soyuncu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] kwann unajipa tabu?

😀hapo tulipigwa maziwa fresh
 
Watu mnaanza kubishia umri wa nesi, hawa mabinti wakimaliza form four wanasoma hapo Msimbazi Centre kwa miezi 9 tu.
Na wamejaa kwenye Zahanati, wengi tu wakiwa na miakab18, 19 hapo.
Ni nesi wa cheti jamani sio hao manesi wa level za degree.
Mbona vichwa vigumu.

Haya tufanye stori ya jamaa ni uongo. Leteni za kweli.

Wanaboa sana. Story hawaletii wanajifanya maodita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..

Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??

Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??

Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)

Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..

Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....

Nawasilisha... By caglar soyuncu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye Ni certificate, ya miaka miwili, form four kamaliza na miaka 16, nursing miaka miwili, Ni hivyo inakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom