Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,767
Soma story vingine muachie mwenyewe.Halafu anajiita Prof 😂😂😂
Soma story vingine muachie mwenyewe.Halafu anajiita Prof 😂😂😂
Na je ulikuwa na details nyingine, juu ya mahali anapoishi huko London, kazi yake, ndugu zake au rafiki zake na vitu kama hivyo ambavyo vinaweza kukusaidia kujua pa kuanzia kumtafuta ?Mkuu akanyambasira
tulikua tunawasiliana sana kwa email,hata picha alinitumia kwa email,toka tumeachana simu alisha nipigia kama mara 8, lakini sikua na umakini hata wa kuiandika sehemu ,changamoto za simu unazijua kuna kipindi nilipoteza simu nikapoteza na mawasiliano cha ajabu hajawahi nipigia tena na kuhusu email namtumia sana lakini hajibu,hata last month nimetuma lakin hazijibiwi,kipindi tunatoka Rubondo nilimpeleka mpaka home sa najiuliza nini shida toka 2013 kwa nini asinambie najiuliza maswali mengi sana na kuna hali flani kama inaniumiza sana kimawazo
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu wala maasi yangu, unikumbuke kwa ajili ya fadhili zakoBaada ya vita vya Vietnam na US,yalifanyika mapatano ya kidiplomasia ili kuweka au kuhuisha uhusiano wa hizi nchi mbili.Moja ya makubaliano ilikuwa ni USA kutoa scholarship kwa vijana wa Vietnam ili wasome na kurudi kuendeleza nchi yao.
Kwa hiyo hii ilikuwa programme maalumu kwa vijana wa Vietnam ambao ama wamezaliwa na kukulia Vietnam au wanaishi USA kama wahamiaji,maana kuna wengine waliikimbia nchi enzi zile za Ukomunisti na USA ikawa inawapokea.So baada ya vita kuisha na wao wakaendelea kubaki hukohuko.Mmoja wa aina hii ya Scholarship ni First Asian-American Mayor John Tran Tuyen
So mabinti wa Vietnam wengi waliomba Scholarship hii,changamoto yao ni kuwa ilikuwa lazima wawe na programme ya mwaka mzima ya kujifunza Kingereza na baadae kuwa admitted katika vyuo vikuu vya Marekani.
Kingereza kiliwasumbua sana Wavietnam,mahali ambapo nilikuwa nafanya course yangu kulikuwa na centre ya kuwafundishia Wavietnam walio katika huu mpango wa USA.So tulikutana na mabinti hawa kwenye mambo yanayohusu international Students Affairs.
Kuna binti mmoja aliitwa Huon Twiin Chinh,alikuwa kwenye hii programme,mrembo kiasi chake mzaliwa wa Da Nang,Vietnam.Huyu alinizoea sababu tulikuwa tunakutana ama cafeteria au kwenye Buddhism Club,nilijiunga na club ya wanafunzi Wabuddha sababu nilitaka kufahamu dini ya wabudha na falsafa zao katika imani.
Club hii ikaniweka karibu sana na Huon,alikuwa na hobby ya hiking na kuendesha baskeli,akafanya na mie ninunue baskeli na viatu vya haking.Baadae akawa ameomba niwe namsaidia kingereza,ili afanye mitihani yake ya Special English Profiency for Vietnamese ajiunge na chuo.Basi nikawa mwalimu wake.
Nikawa nampa shule pale na home work zake akileta tunazicharanga sana.Akawa na furaha sana maana alipata na mtu wa ku-practise naye Kingereza.Mimi nilimsaidia tu bila kuwa na hisia yoyote,sababu wakati huo nilikuwa mgumu kidogo.
Tukaenda naye mpaka tukawa karibu sana,na mie nilikuwa off campus baada ya kukimbia "curfew" chuoni,so kachumba kangu kalikuwa mwendo wa kutembea tu toka Campus.Kingereza huwasumbua sana watu wa Asia,na huwapa stress sana kutokana na lugha zao kuwa tofauti na English na hata tu ile hali ya kutokuchangamana na Waingereza au watu wanaoongea Kingereza.Huyu mdada akawa analalamika,stress nyingiiii...basi mie ndio nikawa mfariji.
Tumeendaaa weee,mpaka akaja kufanya mtihani akafaulu na baadae kuwa admitted chuo.Alifurahi sana,basi siku akanialika twende hiking,kwenye mlima mmoja maeneo ya Campus,tukaenda hiking ilikuwa majira ya Spring,tukiwa kule tukawa tunafuata vile vibao vya hiking vinavyoelekeza uelekeo mkiwa mlimani kuwa mpo mita ngani na tahadhari kwa watu wenye magonjwa gani wanatakiwa wasizidishe hizo mita.
So tulifika mita kadhaa akasema kachoka,tupumzike maana anahisi kifua kubana na tunapozidi kwenda juu ata-suffocate.Basi mle hiking milimani huwa pia kwenye vituo vya kupumzikia wanaweka vifaa vya mazoezi kama vile open public gym,unakuta kuna watu wanafanya hiking wakifika hapo wanayoosha viungo.
Tukakaa hapo tukanyoosha viungo na story za hapa na pale mpaka kakiza kakaingia.Na ule mlima ulikuwa na Deers wa kutosha.Baadae tukakaa kwenye bench na story za hapa na pale...mara mtu anishike vidole?mara anipanguse jasho.Hapo kijana nikajua kazi ipo.
Baadae akashindwa kujizuia nikaona kanishika mkono kanisimamisha then akanikumbatia,akaanza kunibusu na kazi ikaaamka,mie nimekubwa na butwaa hasa jasho la hiking sikuhisi.Nikaunganisha pale romance romance...Tukaendelea weee!!mpaka nikazidiwa nikamlaza chini nifanye mambo.Kila nikijaribu inagoma...hawa watu wa Asia wanahifadhi ndogo sana huko chini.Sisi wa jando la bila ganzi hizi bidhaa zetu huwa zinatuna sana baaada ya jando.
Ilichukua muda sana pale purukushani ya kuingia inagoma...mpaka tukafurumushwa na vishindo vya Deers maana ilishakuwa kiza na tukadhani ni watu wanapita.Tumetoka pale mie nikarudi kwenye "Box Room" yangu ye akaenda hostel.
Hakuwa karidhika,baadae usiku akawa amenitafuta,tukaenda kupata chakula na akasema leo anadhani anaweza kuongozana nami mpaka kwangu.Nikajua hii kitu ipo kibra tayari...basi kufika box room nilichakaza sana,kwa mara ya kwanza Mvietnam anakutakana na mashine iliyoenda jando ya bila ganzi,kila akiangalia anaachama mdomo anasema mbona kubwa sana,anaigeuza huku na kule aamini,anasema wanaume wao wana vidude vidogo.
Toka nilipomuonjesha nikajuta,ikawa kama dozi,anataka kila siku na kila uchwao mpaka nikawa namkimbia.Ninadhani hatakuja nisahau maisha yake yote...japo sasa ni mtu mzima,lkn huwa anakumbuka hizo nyakati ana anaomba kama zirudie.Lkn basi ujana ni maji ya moto.
Niliposikia juzi huyu kijana wa bongo music anaimba anasema hataki kibamia anataka tango,nikakumbuka nyakati hizo...maana Huon alizoea kuniita "Cucumber" na mie nilimuita "kongsung"...Maana alinambia kwao Vietnam wanawake wenye sehemu za siri kubwa huitwa "Kongsung" ambalo ni jina la bwawa kubwa la samaki huko kwao,hivyo nikawa namwambia ukirudi kwenu atakayekuoa atakutana na "kongsung".
Uzi huu unanikumbusha uovu wa ujanani,na kwa kweli ile sehemu haizoeleki.Unaweza fanya leo ukasema nimekinai,lkn kesho ukiiona ipo kwenye mwili wa mwingine unaitamani wakati nyingine ipo ndani kwa mkeo umeiacha na unaweza kuila bila hata kuhonga.
Wakati wa uzee ni wa kutoa zaka na sadaka,ili tuwe na mwisho mwema,tufe kifo chema.Na mwenyezi Mungu atupe mwisho ulio mwema na kutusamehe makosa ya ujana wetu.Amina
Du umenikumbusha mbali sana nilimtafuna mzungu tukiwa makete nikiwa na mishe kule za mbao dah mjerumani yule alipata uja uzito tukawa Tuna wasiliana mpaka akajifungua mtoto nilimuona mara mbili tu mpaka leo mawasiliano sina tatizo la kula tunda kimasihara
Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako,Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu wala maasi yangu, unikumbuke kwa ajili ya fadhili zako
Zaa sasa kimasihara na mwanamke wa kiTanzania uone. Hizo child support ukikwama mwezi tu mshafikishana kwa ustawi wa jamii. Ukikaa vibaya siku unakuta nje ya nyumba yako kuna kitoto chako kimetelekezwa hapo.Du umenikumbusha mbali sana nilimtafuna mzungu tukiwa makete nikiwa na mishe kule za mbao dah mjerumani yule alipata uja uzito tukawa Tuna wasiliana mpaka akajifungua mtoto nilimuona mara mbili tu mpaka leo mawasiliano sina tatizo la kula tunda kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nondo kama hizi zifuatane na mistari ya Biblia kwani usipofanya hivyo ni udukuzi wa kazi wengine bila kuwatambua. Kiingereza chake nimesahau ila it sound like priglisim (nadhari kuna makosa ya herufi)Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu wala maasi yangu, unikumbuke kwa ajili ya fadhili zako
😂😂😂
Ni matumizi mabaya ya JF kusoma masihara ya watu bila na Mimi kuweka yangu.
Ilikua 2015 natoka kazini, bahati mbaya pikipiki yangu ikaishiwa mafuta ikiwa sijafika pahala niwezapo pata msaada wa mafuta. Wakati natoka nunua mafuta nikakutana na binti makamo ya form 4 leaver hivi anatembea kando ya barabara design kama hana ramani ya aendako (mabaharia wanelewa kuwasoma hao viumbe) na hakuwepo kichwani kama saa moja ijayo anaweza kuwa kitoeo. Wakati nageuka pikipiki nikakutana nae tena akionekana vile vile kuku mgeni. Nikasimama kando na kumsomesha iweje mtoto mbichi anachomwa na jua wakati mie pikipiki yangu sina abiria. Ghafla bin vuu mtoto wa watu akakwea lengo akapewe walau maji baridi popote yauzwapo atuze joto. Break ya kwanza home kwangu (mke wangu alikua mkoa wa mbali nami). Kumbe kweli binti alikua mgeni na alikua anakata mitaa kuujua mjini, na bahati nzuri akakutana na mwenyeji akanitunuku tunda pasipo hata mtongozo.
NB: Sikutaka kumjua jina na wala namba yake ya simu sikuchukua. Mtoto wa kinyamwezi, uwazi wake ulikua vizuri sana. Mwishowe aliambulia Tshs. 600/= ya nauli akarudi kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe lete story kuna mwamba mmoja huko juu alishasimulia yan alimla demu juu ya kaburi la babaake tena ndo wamemaliza kumzika tu kaburi bicha kabisa.
Achana na nguvu ya kichwa cha chini wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhhaha kuna siku nilipanda gari hata sijui naenda wapi kisa niliyekuwa namnyatia kapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bangi hizi...dahh !!!Wazee ukuni wangu umesimama kinoma vipi na nyie moderators mnadindisha au ni mimi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...
Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
Ishi maisha yako ..ukianza kuwaza kuhusu hayo kwa mkeo/Gf basi utakuja kufa mapema bure ....Habari wanajamvi,
Mimi ni msomaji mzuri na member wa muda kidogo hapa jamii forum na nimekuwa nikifuatilia matukio , habari na makala mbalimbali humu, bila kusahau nyuzi zinazoanzishwa.
Miongoni mwa nyuzi ambayo napenda kuifuatilia kila siku ni hii hii ya kula tunda kimasihara. Inafahamika wazi kuwa wanaume ndio wanaopenda au kwa hulka wanaamimiwa kuwa hawawezi kubaki au kuwa na mwanamke mmoja. Sina uhakika sana na hoja hiyo lakini pia siwezi kupingana na hoja hiyo bila kuwa na ushahidi madhubiti.
Wakati naufuatilia hoja ya mwanamke kuliwa kimasihara hasa mke wa mtu napata ukakasi na kujiuliza maswali pasi majibu
1 Je manawake nao hawawezi kutulia na mume mmoja?
2. Kama mwanamke ana mume wake ambaye wakati mwingine anamsemea kuwa anampenda Sana,kwa nini sasa mwanamke huyo anachepuka?
3. Je kumpa mwanamke kila kitu anachokitaka itamzuia mwanamke huyo asichepuke?
4. Mwanake uliyeolewa kuliwa kimasihara maana yake kuwa huridhishwi na mume wako au niamini kuwa mwanamke naye anapenda kujaribu?
Najua kuliwa mke ni jambo ambalo mwanaume huwezi kulizuia ila mwanamke mwenyewe anaweza akiamua.Lakini pia kuliwa kumauma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao wanaume wakingonoka wana kuwa wana ngonoka peke yao ....Si wana ngonoka na wanawake ambao hawajutulia kama wao pia .....?Kati ya viumbe ambao hawajatulia ni wanaume... Tuuanze kuwa uliza Kwanini Hawajatulia na hawaridhiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo una maanisha kuwa sababu ya wanawake walioolewa kuliwa kimasihara ni kutokutoshelezwa na waume zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alikuona wewe ni mbabaishaji ndio maana haja kutafuta tenaMkuu akanyambasira
tulikua tunawasiliana sana kwa email,hata picha alinitumia kwa email,toka tumeachana simu alisha nipigia kama mara 8, lakini sikua na umakini hata wa kuiandika sehemu ,changamoto za simu unazijua kuna kipindi nilipoteza simu nikapoteza na mawasiliano cha ajabu hajawahi nipigia tena na kuhusu email namtumia sana lakini hajibu,hata last month nimetuma lakin hazijibiwi,kipindi tunatoka Rubondo nilimpeleka mpaka home sa najiuliza nini shida toka 2013 kwa nini asinambie najiuliza maswali mengi sana na kuna hali flani kama inaniumiza sana kimawazo