Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
Hahahahaha tatizo ulikuwa na haraka man, wakat mwingine huwa wanajaribu kuonyesha vikwazo kidgo, ila ukikomaa unan'goa, ulitakiwa uende nae mpaka anaposhuka then ww hata kwa miguu unarudiInawezekana hata tunda hajala. Mademu wenye dharau wakae mbali na mimi. Imentokea leo wakati natoka job. Kuna binti mmoja mzuri sana, yani sana alikua mbele yangu, tunaenda njia moja. Hata sjaangaika kumsemesha nkampita nkaenda kupanda daladala, nae kaja kupanda hiyo hiyo. Wote tumesimama. Watu wakaongezeka tukasepa. Kajisogeza kutoka mbele huko hadi nilipo, kanipa hi, kauliza sjui nn, tukaanza story, anafanya kaz benki posta. Story fresh kabisa. Wakati nashuka yeye anaendelea, nkatoa simu nkamuomba namba. Kaniangalia kwa dharau af kauliza nkupe ya nini?
Nmekosa come back ya kumpa. Nkamiambia konda shusha hapo, nkashuka nkasepa. Njia nzima nmemind, sasa kujileta lote kule kwanini 😡😡
Sent using Jamii Forums mobile app

