Ungechukua moja ukakaa nayo mwenyewe,
Na kubadilisha kila siku, tofauti yake Ni Nini?
Na umepata faida gani?
Umepata hasara gani?
Linganisha hasara na faida kipi kikubwa? Alafu nipe jibu.

The same energy men put into women, should be put towards their goals.
 
Masawe alikuwa classmate wangu tosa huyu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sijui aisee. Ila huenda ni huu uzi maana alikwa analalamika some of the stories zinafutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikula ban kwa kulalamika dhidi ya tabia za mods kufuta baadhi ya nyuzi.zilizokuwepo humu. Wasingefuta nadhani zingekuwa zaidi ya 7000.

Nami nililalamika sana maana sikuona sababu ya kufutwa. Hazikuwa na kitisho chochote dhidi ya usalama wa mtu binafsi (human security) au usalama wa kikundi/jamii (societal security) wala usalama wa taifa (national security). Naamini walifuta kwa sababu zao za hovyo tu nadhani wivu baada ya kudindisha kwa kusoma pono

Bazazi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akireply naomba plz unitag...ngoja nifate popcorn
 
Mama ugumu ulikuwa unamsumbua nyegezi za kutosha,huyo demu aliona utamshushia credit anatombwaje na boda boda watu wasiojitambua marasta kama kr mulla o da baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeh hii ni vita mbona..... Sijui ni ya Waajemi na Marekani ama Marekani na Mr Rocket man
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakijibu na wewe ujibu vilevile sisi tupo kusikiliza hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay.

Kumbe no freedom. Anyway ngoja tupige kimya. Maana hawakawii kutula vichwa na sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama debora mama la mama....heshima kwako.

Hebu tupe kisa ulivyo toa tunda kimasihara enzi za ujana bwana.....

Sio umalaya mama bali ni just life coincidence...

Mwache demis aongee kile anachotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kimasihara ukapata mpaka jiko

Sent from my SM-A105F using Tapatalk

sasa jamaa wa lindi branch nawajua wote alafu wanangu daah umepiga mwanamke wa kija John,Kalist na bwana lucas, kama sio yule mzee alostaaf, uliwaonea sana washkaji zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...kwa hili bwana john ntamcheka sana 🤣🤣🤣🤣, kujifanya mjanya alafu kazidiwa ujanja


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duuh mkuu hawa watu unaugomvi nao binafsi?? Sasa kama huyo shemej yangu Mzigua90 anahusikaje kwnye huu uzi kwnza tu sijamuona akitia mguu hapa tangu uzi umeanza, pili kumuhukumu mtu kwa kumuita malaya kwa kile anachokitirirsha hapa eti ni kwasbabu mwanamke kaumbwa na aibu hawez kusema mambo ya ndani public, unaweza kukuta wewe ni mchafu na unamatukio ya kutisha kuliko hata huyo Demis anaefunguka hapa jukwaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dume hilo, wewe acha kulisifia hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke na ni daktari hospital fulani Old Bagamoyo Road....
Wengine hawajali sana hizo detail za kujaza kama ni KE au ME wanachotaka ni ID ya JF tu.
Wengine wameandika wamezaliwa 1920 sasa wewe ukisoma profile yake utaanza kubishana naye kuwa hawezi kuzaliwa 1920.
Ndio maana ya "anonymous" kuwa na ID inayoficha utambulisho wako.
Sasa jina feki halafu wewe unahangaika na details nyingine kwa shughuli gani? Unataka kumpa kitambulisho cha taifa?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa mwenye hichi kisa kagoma kabisaa kuendeleaaa [emoji29][emoji29][emoji29]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…