Ulishawahi kula tunda kimasihara?

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Messages
1,207
Points
2,000

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2016
1,207 2,000
Nilipomaliza kidato cha sita, nikawa naenda Temeke mtaa wa Wailes kuwafundisha watoto wa Mjomba kila weekend. Naenda ijumaa narudi jtatu. Siku hiyo nilipanda bus Kituo cha hospital, kufika usalama bus liliharibika, ikabidi abiria wote tukarudishiwa nauli.
Mimi nikaanza kutembea kuelekea sokota, mara nikasikia naitwan broo. kugeuka nakutana na Denti wa kike. Nikamsubiri kumsikiliza. Alitaka kampani tu naye alikuwa abiria ktk ile daladala. Wakike alikuwa mzuri, anapenda sana story. Mimi katika kumteka mtoto nikambebea bag lake la madaftari. Kufika Sokota tukaona tumalizie tu kituo kifuatacho, tulitembea hadi Vetnary tukachukua bus hadi bugurun tulipokuwa tunaelekea.
kufika Buguruni nikamchomekea kuwa niende nae gheto akapafahamu ili awe anakuja nampigisha pindi. Akubisha hata, haooo hadi gheto. Sipendagi kupoteza muda nikamdata kiuno nikamvutia kwangu, nikavyonza sana matee. Nilimpiga kimoko tu, muda haukuwa rafiki kwani ilikuwa mida ya saa 1:30 ucku.

K tamu sana jamani. Kule kwa mjomba ratiba ilibadilika ahaaaa kila jpili ratiba ikawa yake nampigisha pindi kisha namgonga.
 

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
2,121
Points
2,000

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
2,121 2,000
Nilivyo mla demu wa mwana.....inaendelea...

Kabla sijaendelea zaidi niweke tu wazi kuwa huyu ninyemuita mwana alikuwa ni zaidi ya mwana...urafiki Wetu haukuanzia Mbali sana (tulianza kuwa marafiki mwaka wa kwanza Chuo) ila tulishibana mapema sana. Mwana alikuwa ni Mtoto pekee wa kiume kwao akiwa na Dada zake 4. Yeye alikuwa ni wa 3 kuzaliwa. Wazazi wake wote walishatangulia mbele ya haki...kwa hyo alikuwa ni mtu anayehitaji rafiki genuine na hilo nilijaribu kulifullfill...Kuna wakati alikuwa na issues na dada zake na kwa kiasi kikubwa mimi ndo nilimaliza zile issues wakarudi kuwa Sawa.... alikuwa ana uhakika 100% kuwa mimi sio mnafiki kwake...kama kitu ni nyeusi nilikuwa namwambia ni nyeusi na kama ni nyeupe namwambia ni nyeupe kwa hyo kulikuwa na respect kubwa sana kati yetu...Dada zake walikuwa wanampenda sana sana (dada yake wa mwisho alikuwaga anamwita baba...hahahaaaaa)ila mwana na yeye alikuwa na issues nyingi tu na dada zake na nyingi zilikiwa hazina hata mashiko...Sijui ni kwa vile alikuwa Mtoto pekee wa kiume sijui.. Kwa hyo jamaa alikuwa mwana kweli kweli.

Basi bwana baada ya kumla yule demu ile kitu ilininyima sana Amani ya moyo. Nikawa ninajiona kama nimemkosea sana mwana. Cha ajabu yule demu akawa anazidisha mazoea na mimi ila hakukata mawasiliano na mwana. Mwana anaendelea kula mzigo na kila akitoka kula lazima nijue. Kwa vile mimi nilikuwa mwizi sikuwa najali sana.

Nakumbuka ilikiwa ijumaa..yule demu akanitext..kesho saa nane tukutane sehemu fulani nataka nikakudatishe...nakamuuliza huendi job,??akajibu nimeomba ruhusa kwa ajili yako...wakati nipo najadili kuhusu kwenda au kutokwenda akaja mshikaji Wetu mwingine nikawa nimemwelezea Kuhusu yule demu nikamwanyosha na ile text...jamaa akaniambia acha ufala wewe nenda kale mzigo kwani mwana anajua..nikamwambia hajajua bado. Basi akaniambia nenda ukale mzigo ila jitahidi mwana asijue maana itamuumiza sana.

Jumamosi saa nane nikasogea sehemu nikamkuta demu kashafika..baada ya kupeana hi swali lililofuata ni..umekula...nikajibu bado..basi tukaingia sehemu nikapata menu ya nguvu na kulipiwa nikalipiwa.. Baada ya hapo tukasogea Zetu lodge...wakuu naomba tu muamini kuwa ages are nothing but a number...yule Mtoto alikuwa btn 19 and 22 lakini vitu alivyonifanyia katika ufuska Wangu wote sijawai fanyiwa vitu kama vile na mwanamke..japokuwa nilishakula wnawake wengine wananizidi hata umri. That chick was bad in bed..ila na mimi nilikuwa bad vile vile maana ndo nilikuwa kwenye mid 20s' kwa hyo nguvu zilikuwa bado zipo sana. Ilipigwa the baddest show mpaka kama mida ya saa Mbili usiku demu akaniambia inabidi niondoke maana alikuwa bado anakaa kwao. Wakati tunaelekea kituoni akaniambia ulichofanyiwa Leo mwana Wako hajawai fanyiwa hata nusu ila kuna siku na yeye atafanyiwa....mzee baba sikuwa hata na la kusema maana nilikuwa simmalizi yule Mtoto.

Nikawa kama nimekata mawasiliano kiaina na yule demu ingawa yeye alikuwa ananitext sana tu..siku moja akanitext...kesho naenda kumdatisha mwana. Kweli kesho yake mwana akaniaga kuwa anaenda kula mzigo..kurudi mwana alikuwa na mabadiliko sana maana alikuwa ana furaha isiyo ya kawaida. Baadae akaanza kupanga mipango Kuhusu yule demu..siku moja tupo tunapiga story akaniambia...mwana nikimaliza Chuo nikipata job tu mshahara Wangu wa kwanza nampeleka yule demu Chuo. Moyoni nikasema haiwezekani...kimsingi sikuona kama Yule demu anafaaa kuwa mke wa mwana.

Siku moja nikamtext yule demu...vp Sasa huo mzigo sili tena..akacheka akaniambia..wewe si ulinipotezea..nikamwambia lini Sasa...akajibu ntakuambia. Siku ya siku akanistua kesho tuonane basi...MZEE baba nikaenda nikala mzigo..ile anataka kuondoka nikamwambia hv unajua mwana ana mipango mikubwa mikubwa juu yako..akaniuliza mipango gani??nikamwambia anataka akishapata job akupeleka Chuo. Demu akacheka sana akaniambia kama Chuo nimeshakusanya hela yangu ya kutosha na mwaka kesho ndo naenda Chuo cha ualimu...akanielezea jinsi gani huwa anapiga magep Kwenye duka analofanya Kazi. Mwishowe akaniambia nikuambie tu ukweli N mimi siwezi kuwa mke Wako wala mke wa mwana...nyie tutaishia kutombener tu. Akasema na hili kumkatisha tamaa mwana ntamwambia kuwa nilishatembea na wewe. Akasema mume Wangu nitampata baada ya kumaliza Chuo mwakaniiiii..kwa kifupi yule demu alikuwa na guts za kutisha

Basi mimi nikamwambia wewe usimwambie mwana Kuhusu mimi..nitamwambia mwenyewe..niliwaza tu jinsi mwana ambavyo ameshazimika kwa yule demu angemwambia labda wakiwa room wawili mwana angeweza kuua. Basi bwana kurudi Chuo kila tukipiga story na mwana...mwana Lazima aongelee mipango na yule demu. Siku moja katika maongezi ya yule demu nikamwambia mwana...mwana eh...nikuambie kitu,,akasema niambie nikamwambia...yule demu hafai kuwa mke Wako...mwana akaniuliza kwa nn??nikamchana live kuwa yule demu nilishamla tena sio mara moja. Mwana hakuamini alichokuwa anasikia...akacheka akaniambia au unamtaka nn kwa hyo unakuja na hyo gia.. Nikamwambia hapana we Amini tu kuwa nimeshamla yule demu. Akaniuliza ulimpataje wakati huna hata Namba yake..nikampa simu yangu nikamwambia ebu piga Namba yake...yule demu nilimsave KUKU wa KIENYEJI..

Hapo mwana akaanza kuamini...ili kumuaminisha zaidi nikamuonyesha ile text demu aliyoniandikia akanidatishe na ile aliyoniandikia anaenda kumdatisha mwana. Mwana alipomaliza kusoma zile text akanirudishia simu akaondoka. Basi bwana tukikaa kama week Mbili hv mwana hataki kuongea na mm zaidi ya salamu tena kwa shida. Iilifika muda mpaka kama tupo Kwenye story na wshikaji nikichangia jambo mwana anacriticise kwa nguvu sana kitu ambacho hakikuwa cha kawaida mwanzoni Ilifika wakati washikaji wengine wakahisi kuwa kuna kitu hakiko Sawa kati yetu. Kwa upande wa yule demu mwana akawa ameshamtumia text mbaya sana ila demu alichukulia poa tu...akawa anaziforward kwangu huku anacheka tu. Nikimuuliza unacheka nini ananiambia sasa huyu anachukia nn wakati mimi ni demu wake tu...kwanza anapangaje mipango juu yangu bila kunishirikisha.

Siku moja yule demu akanitext... unajua nini mwana hawezi kuniacha labda nimuache mimi..nikamwambia mbona ameshakuacha tayari...akacheka akaniambia kesho anakuja kula mzigo..kweli hyo kesho mwana mida ya mchana hakuwepo Chuo akarudi usiku. Siku hyo nikaenda chumba cha mwana...nilivyomkuta nikamtania...mwana umetoka kula mzigo nn???mwana akacheka ..akaniambia kalale tutaongea kesho.

Kesho yake mwana akaniita akaniambia ebu nielezee ilikuweje mpaka ukamla yule demu?? Nikamwelezea mwanzo mpka mwisho..mwana akaniambia aisee umeniambia ukweli 100% maana hata yule demu na yy kanielezea hvo hvo na akasema kwa sehemu Kubwa yeye ndo alishawishi aliwe. Basi bwana ugomvi Wangu na mwana ukaisha maana demu alimuhkikishia kuwa hana mpango wa kuolewa na yeye na wataishia kutombener tu. Mwishowe mwana akaniambia demu kasema tukishapatana umpigie maana wewe ndo anakuamini sana. Basi bwana badae nikampigia yule demu nikamwambia niko poa na mwana...demu akafurahi sana...nikapewa tena siku ya kwenda kula mzigo.

Niishie hapa ile ya kumshawish demu tuwe tunamla kwa zamu na hatimaye tukaanza kumla mtungo naomba niiache baharia Wangu.
Kaa Muvie vle doh..... Salute! Kwakweli story zako ni Nyoko mzee
 

Anti-Hacker

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Messages
771
Points
1,000

Anti-Hacker

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2018
771 1,000
Unachekaaa...But mi nikawaida yangu yani hata uniaambie nije kwako wala sitokuumiza...
Nitakupa Romance ya masaa mawili na Mkuyenge wa Sec 10 tu..yani kwishnei..
Ukihitaji zaidi yani hapo Kidole cha kati kitahusika zaidi mpaka useme poo...

Ukinihitaji nitag Tu...
Au ruhusu nizame Pm..
Wala Haitokua masihala sihala..
Nitafanya Real nawe na kama shetani akipenda zaidi tutaingia katika jela ya pamoja...

Nimestuka tu..
Nilikua naota namkula huyu manzi kimasihara jirani na chuo..
Sijui kweli
Au jini lilitumwa na rikiboy limeniingia nile tunda hadi tondoni...

Kesho nakuja na mchapo kamili wa ndotoni

😵🙏
 

7ve

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Messages
700
Points
1,000

7ve

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2014
700 1,000
ilibidi mwanzo wa uzi yangeandikwa haya maneno:

DON'T TRY THIS AT HOME.

Maana ukisoma huu uzi una ona wanawake wote wana gongeka ki laini sana. Then una jijaza ma confidence ya kutosha.una enda kwa beki tatu wa jirani...eti umvizie aki ingia bafuni na wewe uingie ukale tunda kima sihara unaishia kupewa kesi ya ubakaji ndiyo utakapo mkumbuka rikiboy na uzi wake.
 

mtamaushi2

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
397
Points
500

mtamaushi2

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
397 500
Ngoja na mm nichangie kidogo.

Nakumbuka mwaka 2012 niko first year chuo fulani kanda ya ziwa. walikua na kautaratibu wa kufanya sherehe kukaribisha first year, sherehe yenyewe ilikua inafanyiaka kwenye uwanja wa mpira wa chuo. Mwaka huo nilikua mgeni nimekaa geto nikaboreka nikaamua ngoja na mm nikashangae shangae kidogo. Kipindi hicho mm nilichagua kukaa hostel za nje ya chuo.
Siku hiyo kulikua na wasanii mbalimbali walikuja kwajili ya kunogesha sherehe, basi bhana nakumbuka lilipigwa songi moja matata sana karibia kila mtu uwanjani alilipuka kwa shange na kuanza kuserebuka. Mimi nilikuawa pekeyangu sina kampani yoyote. Kutokana na utamu wa mziki uliokuwa unapigwa nilijikuta najichanganya kati kati na kuanza kucheza, nkajikuta naanza kumbambia mdada aliekuwa mbele yangu, mwanzoni alistuka kidogo lakini kadri ya mizuka alivoendelea tukajikuta tunacheza zero distance kabisa moyoni nikasema huenda na mimi nimejiopolea kidemu cha chuo hapa. Katika kuendelea kucheza nikajikuta mikono inaanza kutalii mwilini mwa yule binti mara kiunoni mara kifuani nikichek bint mwenyew katulia tu anaendelea kusakata mziki. Lakini kadri nilivyoendelea kumpapasa nkaona anaishiwa nguvu tena kuzingatia kuwa kulikua hakuna taa za mwanga mkali bali ni kagiza flani hivi amaizing. Badae binti nkaona ananinambia nimsindikize chooni, nikamuuliza wap? Akajibu hostel ndipo nolipojua kuwa alikua anaishi hostel za ndani ambazo hazikuwa mbali na uwanja wa tukio. Basi bhana tutatoka moja kwa moja hadi hostel binti akazama chooni ile anatoka akasema amesahau kitu chumbani anataka akachukue nkaenda nae, ile kufika kuingia ndani binti akawa kama hataki kutoka hivi anataka tuendelee kukaa ndani. Sijui nini kilitokea tukajikuta tunakiss, romance nyingi kuja kustuka badae kitu imoo!! Binti yule sitakuja kumsahau alikua anajua kikatika balaa tena kulikua na kaubaridi kiasi hivyo ile show naikumbuka hadi kesho alikua na joto hatari,. Tangu siku hyo tukaanzisha mahusiano lakini hayakudumu sana tulipofika second year tuliachnana but tukawa tunapasha kiporo mara chache chache,. Sahizi kaolewa yuko zake huko mikoa ya nyanda za juu kisini.
Kama upo huku popote ulipo penzi lako nalikumbuka saaanaa.

Kisa kingine kinakuja:
 

Forum statistics

Threads 1,355,091
Members 518,601
Posts 33,099,598
Top