Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,492
Sasa unalalamika nini kijana,kula hivyo hivyo kama unaona inafaa vinginevyo jiongeze tafuta wa kujifariji naye,ndo ushaingia mjini hivyo msukumaUkiskia kula hasara ndio huku Wanawake sometime muwe mnajiongeza mwanaume kakutumia nauli umetoka Mwanza unakuja hadi Dar na kashakupanga kabisa unaelewa ulichokifuata ni nini unafika Dar unasema upo period matumizi yote hadi kurudi mwanza 500k no mzigo