SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 11,128
- 3,740
Mzee wangu huyu.nilitaka nimpe ndoa sema nishamjua ujinga wake akitoka hapa biashara imeishaBado anakuchezesha akili na ataendelea kukunyosha.
Mzee wangu huyu.nilitaka nimpe ndoa sema nishamjua ujinga wake akitoka hapa biashara imeishaBado anakuchezesha akili na ataendelea kukunyosha.
Ataisoma nambaDuh! Wanaweka tomato kwa mbususu...alooh hizo mbususu zinaingizwa vitu vingi
Hili ndio jibu.....sema kwa kuwa amepamisi dar na nauli kubwa amepata fala wa kupiga akakubali hivyo hivyo.au hajakupenda 😅😅😅
Nipe huyo mwajumaaaaUkome kuagiza bidhaa mikoani na wakati hapa Buza zipo. Shoga yangu Mwajuma yupo single wewe unge oda tu usafiri bure hadi magetoni.
Umechukia sana bhana acha hizo.Huyu wala kidole simgusi nimetoka kubooking katarama hapa kesho anasepa fresh tu ila akisepa biashara imeisha maana alikuwa mkoani analia lia nimuowe na tokea Namfaham.hapa Dar alikuaa ananizungusha zungusha mchezo nikamwambia siwezi nunua gari sijalitest hiyo biashara haipo akaenda mkoani kufanya kazi ila bado ananisumbua sana nikamwambia akubali vigezo vyangu akakubali namtumia nauli anafika Dar nipo Period.. sasa nimemuuliza ulikuja kufanya nini
hii pisi ninayo iona niwewe?😁😁😁Muone 😅
Ameshajua unampenda sana.Mzee wangu huyu.nilitaka nimpe ndoa sema nishamjua ujinga wake akitoka hapa biashara imeisha
Nimekuelewa kabisa huyu Demu tapeliHili ndio jibu.....sema kwa kuwa amepamisi dar na nauli kubwa amepata fala wa kupiga akakubali hivyo hivyo.
Demu anakuwa anajijua na kama anafahamu atakuwa period basi atakwambia mapema kabisa ili uamue kupanga ratib vizuri.
Marafiki kipindi uko nacho, kama huna sahau,. Believe me haijalishi ni mwanamke wa aina gani isipokuwa mamaa pekee japo naye kuna muda hizo traits utaona tuu. Hata kikao cha maamuzi kama kuna mwanamke atoke ndio nishiriki, la sivo wanadelete kwa lolote wala sitoshiriki maamuzi yaoTupe kisa
Moto ushamuwakia tayariiau hajakupenda 😅😅😅
Mademu wanapenda sana Mteremko hasa akiona wewe ni Mtoaji.Nimekuelewa kabisa huyu Demu tapeli
Weeeee. Ile hamu ya kumsubiri demu ambaye hujawahi mkamua ni noma.Kwani ni lazima m do? Mnaweza enda geto mkachili tu.
Wanasema mishangazi ya jf inapiga vizinga sana eti😂Mi staki Jamani 😅😅😅😅angeagiza hata lishangazi la JF
Unahisi ni nani vile? 😅hii pisi ninayo iona niwewe?😁😁😁
Ndo HAPO SasaMademu wanapenda sana Mteremko hasa akiona wewe ni Mtoaji.
Hapo amepukutisha Waleti yako 500k. Lakini atarudi Mwanza kumpa K mtu asiyempa hata elfu 30
Ngoja nikutumie namba PM. Bora hata shoga yangu apate babe.Nipe huyo mwajumaaaa
Weka namba nikununulie bia mzee wanguMademu wanapenda sana Mteremko hasa akiona wewe ni Mtoaji.
Hapo amepukutisha Waleti yako 500k. Lakini atarudi Mwanza kumpa K mtu asiyempa hata elfu 30
Nihudumiwe na nani nije nikupe bure 😅😅😅😅inabidi tutoe Press release kuhusu sisi 😅😅😅😅😅😅😅Wanasema mishangazi ya jf inapiga vizinga sana eti😂
Umedhihirisha "undezi" waziwazi.Mama angetokea mburahati sawa nauli 3000 kwenda na kurudi mtu ametoka mwanza Go and return vip 220,000 kuspend hapa mjini 200,000 na mambo mengine imentoka laki 5 fanya masihara nini na mzigo sjapata