Halafu kuhusu pete afenyeje? Acha utapeli bana, chululu inatolewa bila hayo maigizo, hata sasa kuna watu wanajulikana siyo waoaji na wanapewa kwa vile yeye amekaa kaa ki husband material ndo anapewa hizo sheria feki.
 
Hii tabia unasafiri unaenda kituoni wapiga debe wanakupigia unapata kampani na pesa kidogo ya kulegeza mafuta.
Natokea moshi nafika segera nikalamba zangu vichwa vitatu dar mida ya jioni viwili vinaenda moro. Basi ikanilazimu nipite ya mlandizi japo siipendi nikawashushe chalinze waendelee na safari. Baasi tano usiku ndio tunakatiza chalinze kuhamaki wanashuka madume tu kabakia yule dame ndio anaelekea daslam.
Alikua siti ya nyuma nikamwbia pita mbele.
Stori zikaanza mbona unasafiri usiku mtoto wa kike peke yako?
Akaniambia alikua na wenzake gari ilijaa akabakia yeye.
Tukaenda kufika maeneo ya ruvu nasinzia tu ata sijielewi.
Basi kufika mlandizi kiroho safi nikamrudishia nauli yake apande tu gari ingine mi safari ndio imeishia hapo natafuta gesti nilale nishachoka.
Nitaendelea...
 

Gwangili
 
Hapa wenye thread sidhani kama watakuelewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…