Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Naomba ufananuzi
(One night stand) ndio kuliwa kimasihara kwa kiswahili?
Kuliwa kimasihara inatokea...one night stand.watu wanavumiliwa watafanyaje ndo dunia hahahahah
ILA KUJA KUSEMA KWA MWANAMKE NI ZAIDI YA UJASIRI ULIOTUKUKA.
si unajua wanaume kujisifia kugonga kawaida yao...ila wanawake utaonekana malaya tu jamani..kujisifia nimeliwa eeeh hilo zito shouger....
 
Hivi kutunza siri moyoni Siku hizi imekuwa shida? Do really people use brain? I really dislike this nonsense, full of childish, yaan full of any kind of stupidity!

Nini lengo la hivi vitu Siku hizi? Na miss Jf ya zamani.
Sorry kwa atakaekwazika.
Mkuu dunia imefika mwisho na hata maandiko yalisema Mambo Kama haya yatatokea ikikaribia ule mwisho................
So,chilax let us enjoy these confessions
 
Yani dunia ina mengi kuna mvulana class letu tukiwa std la 6 alikuwa anamla mwalimu wa kike kisawasawa yani huwezi amini yule mwalimu alikuwa anamsifia yule mtoto hatari alivofika 4m 3 teacher ujauzito huu daah, daah teacher akahama Ila mtoto ailchukuliwa anaixh nyumban kwa wazaz wa kijana na kijana now yupo chuo mtoto ana miaka 4 xaiv nadhan.
Mambo ya kawaida! Zamani mijitu inaanza shule INA miaka 16 we unafikiri mpaka LA sits ana miaka mingapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2007 nilikuwa nafundisha shule fulani ya din, wakaja wazungu kutoka Belgium ambao walikuwa wanasuport hiyo shule. Miongoni mwao mmoka wapo akajenga mazoe ya kuja geto kwangu, na akiwa kwangu akawa anajiachia sana mara avae chupi na braa, nikahisi huyu mzungu atakuwa amenizimia. Nikaanza kuweka mkakati wa kula tunda kimasihala. Basi siku moja tupo job akaniomba funguo atangulie geto kwangu nikampatia. Baada ya saa moja nami nikaenda geto naingia ndani nakuta mzungu amelala akiwa kavaa chup na braa, kidume faster nikavua nguo nikapanda kitandani nikamvua chupi, ile nataka kuweka kitu akashtuka akaanza kufoka kwamba nataka kumbaka, dem kapiga kelele, nikashindwa kula mzigo kesi ikawa inataka kupelekwa police ila wakamusihii tukayamalizie shule. Mwisho wa siku tunda sikula ila kazi nilifukuzwa. Kula tunda kimasihala kukaniponza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu ni waelewa sana kwenye mahusiano.
Kimasihara hawapendi kabisa! Kukaa na chupi na blauzi kwao ni mazoea tu.

Fikiria demu alinitongoza mwenyewe tuwe wapenzi ila kuliwa kimasihara hakupenda.
Fikiria mna-kiss, mnakula denda za balaa ila kutoa hakutaka.

Kimasihara ya kwa mzungu, kwanza mtongoze. Akikubali usiwe na haraka ya kupiga mechi. Maana wanaachia kwa process!

Mnapofika kwenye denda za kumwanga ndipo umchanganye zaidi kwa kumnyegesha saaaaana, hapo atakupa mzigo! Na hata hivyo alinambia hakuwa amepanga kutoa utamu ila amejikuta tu.

Hapo ndipo inaonekana masihara. Wanasumbua sana kwa sisi mabaharia ambao tulizoea leo kesho tunapata mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
w
Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho

Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara

Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba

Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara

Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF

Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
ww ni mzoefu hata mm nakuja PM tuyajenge nikutafune kimasihara tuu
 
Jamani wale nilio tafuna humu msimwage mchele maana ninacho kiona hapa watu watatajana na mabeef yataanzia hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho

Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara

Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba

Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara

Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF

Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
😁😁😁👏👏 good good kunywa maji ulipo
 
Hahahahahahahahha nimecheka kwa sautj et chupi linajaza meza
Hii haihusu kula tunda kimasihara lakini naomba niiweke humu. Hata hainihusu, mimi nilikua mpenzi mtazamaji tu.

Kipindi tupo advance tulikua tunakaa bwenini lakini washkaji kama watano hivi tukajichanga na kupanga geto mtaani kwa ajili ya kugongea tu. Anaevusha anatoa taarifa anaenda kufanya yake. Sharti lilikua lazima uruhusu wana waje kupiga chabo, tulikuaa tunaita deo kipindi hicho. Mwamba mmoja yeye alikua anakaa kwao na pale alikua hajashiriki kulipia na kununua vitu, siku hiyo kaomba room kuna demu kaopoa hana hela ya gesti, tukamkubalia lakini tukampa sharti la kuruhusu deo, kakubali. Basi wana tumekaa nje tunamsubiri aje na huyo dem.
Kweli kaja nae, sio dem, ni mmama, af mnene hatari, tako tako. Jaribu kuimagine wale wamama wa uswahilini wanene wanye matako matako kweli. Yani lile tako lilikua balaa.
Basi wakatusalimia wakazama geto. Tukazuga zuga kama dakika 10 hivi tukawaza kuwa mambo yashakua moto tukaenda dirishani kula deo.
Tukakuta mwamba yupo na suruali shati kavua analipiga romance lile limama, limeshavua gauni, ni minyama tu, na mititi kama yote.
Jamaa kaanza kulivua chupi, jamaa mmoja kanong'oneza 'weka chupi mezani' basi wote tukakazia aweke chupi mezani. Kulikua na meza ya plastiki, zile wanafunzi wanatumiaga magetoni kujisomea. Jamaa akawa anaona soo, lile limaza lisje kuskia, ikabidi aiweke kweli. Tukamwambia ailaze. Kweli kailaza.
Chupi kubwa hatari kidogo ijaze meza upande mmoja hadi mwingine. Tukaanza kucheka. Tumecheka mpaka ikawa soo. Lile maza likasikia likamaindi kinoma. Likavaa likasepa. Jamaa kashindwa hata kulisindikiza. Katoka nje kuzunguka dirishani anakuta wana tunacheka mpaka tumekaa chini. Ikabidi nae acheke tu.
Miaka mingi imepita now kila mtu ana maisha yake lakini kila nkikutana na yule mwamba hii ishu huwa naikumbuka nacheka sana.

Hilo geto lilikua na matukio mengi sana. Kuna siku ule ugumu wa kishule shule nkaopoa demu mmoja mbovu hatari, nkaenda nae mchana siku ya wiki, wana wapo shuleni muda huo, nkapiga viwili fasta nkamtoa, kumbe jamaa anaekaa chumba cha jirani kamuona wakati namtoa. Ile narudi jamaa kaniambia dogo huyo dem ni mbaya sijawahi ona. Bora ungepiga nyeto tu yaishe. Ikabidi nimuombe asiwaambie wanangu manake majungu yake yasingekua madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom