Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Dah!! Jana niliona tukio hilo saa 7 za mchana jamaa anakula tunda kimasihara pale Millennium tower, tena mwanamke anapete ya ndoa mkononi,Kwenye hizi office kuna mengi sana yanaendelea...!! Nadhani yule baharia au yule dada kama wapo humu basi wajue niliwaona.

Nadhani mwamba atakuja Na hyo kimasihara yake muda si Mrefu....hahahahaaaaaaaa
 
Ukiwa muongo jitahidi kuukumbuka uongo wako, umesema kuwa [emoji117]"nikaingiza mkono kwenye pajama binti hakuwa hata na chupi" baadae ukamalizia [emoji117] nikaishusha na mwisho nikala tunda...
Ndugu mtoa post umesema hakuwa hata na chupi arafu ukaishusha, ulio ishusha ilikuwa ni nini zaidi, ama ndio tukuache umevurugwa na sherehe za uhuru[emoji849][emoji849]
aliishusha pajama
 
Si aliishusha hiyo pajama ili make tunda vizuri.
 
Ukiwa muongo jitahidi kuukumbuka uongo wako, umesema kuwa [emoji117]"nikaingiza mkono kwenye pajama binti hakuwa hata na chupi" baadae ukamalizia [emoji117] nikaishusha na mwisho nikala tunda...
Ndugu mtoa post umesema hakuwa hata na chupi arafu ukaishusha, ulio ishusha ilikuwa ni nini zaidi, ama ndio tukuache umevurugwa na sherehe za uhuru[emoji849][emoji849]

Well, labda nianze kwa kukuuliza, niongope hapa ili nipate nini? Kuna mashindano hapa kwa atayeandika jinsi alivyokula tunda kimasihara?

Umesoma vizuri lugha na aina ya sentensi?

Hakuna mahali nimeandika kuwa nilishusha chupi, nilichoshusha ni pajama.

Hapo juu umeandika ''arafu'' hii ni lugha wapi au ulimaanisha ''halafu''?
Pia umeandika ''ulio ishusha'' kama ulisoma vizuri darasani hayo sio maneno mawili tofauti, inapaswa kuwa ''ulioishusha''.

Tenga muda na ujifunze lugha ya Kiswahili vizuri, uwezo wetu wa kufikiri na kuelewa mambo unapimwa kwa uwezo wetu wa kuelewa lugha husika.

Asante, uwe na mchana mwema.
 
Mwamba naona hujaelewa nilivyosema haupo dunia hii...Mkuu 3some zinafanyika Tena watu wakiwa sober kabisaaa....bila hayo mak-vant wala bhange unazosema.

Mimi mwenyewe nilishafanya 3some nikiwa Niko sober Kabisa Na mademu wako sober vile vile..

Kwa kifupi tu hii dunia ni zaidi unavyoijua...lislowezekana Kwako kwa wenzako linawezekana...Tena simple tu yaani..

Vijana wengi wa Kitanzania wana-exposure ndogo sana katika masuala yanayoendelea katika ulimwengu huu na wengine hata mambo ya mtaani kwao tu.
Kuna watu wanadhani kwa kuwa kitu hajawahi kukiona yeye kikifanyika basi hiko kitu hakiwezekani.
Haya masuala ya ''threesome'' kwa sasa yanafanyika sana tena na watu hawa hawa tunaoishi nao mitaani.

Ndugu utapoteza nguvu zako kuanza kuwaeleza na kuwafafanulia.
 
Mwamba anaamini lisilowezekana kwake basi dunia mzima haliwezekani pia.

Haya bwana ngoja niwaache tu.
 
Hahahahaha jamaa kazingua hao wa masihara sio marafiki ni wale unaikuta ghafla na mawazo nae huna😎
Binti akishakuwa rafiki jua umeshapoteza asilimia 70 za kumgegeda.
Miaka ile kuna binti mmoja nilimfanya rafiki, anaweza kuja chumbani kwangu akalala na chupi tu, na nikiomba mzigo hanipi ataishia kunizingua tu. Wakati mwingine wewe unatengeneza urafiki anatokea mwamba anakula mzigo kiulaini kabisa. Kula tunda kwanza urafiki uje baadaye.
 
mkuu sijui hiyo 3some sijawah ivo siwezi kucomment chochote, ila hili swala la kula kimasihara lipo, binafsi nmekula zaidi ya mara 10 na humu nmeandika kisa 1 tu!!
Nikushauri vitu 2 tu,1.Dunia ni zaidi ya uijuavyo hivyo kitu kama hukijui hujawahi haimaanishi hicho kitu hakipo!!
2.ukisikia au ukiona kitu usichokijua, usiwe mwepesi wa kukikubali au kukikataa,hutojifunza!! Mwisho jaribu kutembea seheme tofauti tofauti, nje ya mtaa, mji au hata mkoa unaoishi uone wenzio wanaishije
Naked truth
 
Well, labda nianze kwa kukuuliza, niongope hapa ili nipate nini? Kuna mashindano hapa kwa atayeandika jinsi alivyokula tunda kimasihara?

Umesoma vizuri lugha na aina ya sentensi?

Hakuna mahali nimeandika kuwa nilishusha chupi, nilichoshusha ni pajama.

Hapo juu umeandika ''arafu'' hii ni lugha wapi au ulimaanisha ''halafu''?
Pia umeandika ''ulio ishusha'' kama ulisoma vizuri darasani hayo sio maneno mawili tofauti, inapaswa kuwa ''ulioishusha''.

Tenga muda na ujifunze lugha ya Kiswahili vizuri, uwezo wetu wa kufikiri na kuelewa mambo unapimwa kwa uwezo wetu wa kuelewa lugha husika.

Asante, uwe na mchana mwema.
mkuu achana naye huyo jamaa ndio wale wale kina Pa-tigoo wanaona wivu mabaharia kula matunda kimasihara wakat wao hawajawah kugonga mbuye bila kuhonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom