hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,263
- 80,014
Hahahahahhsshs..Aisee nimecheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2007 nilikuwa nafundisha shule fulani ya din, wakaja wazungu kutoka Belgium ambao walikuwa wanasuport hiyo shule. Miongoni mwao mmoka wapo akajenga mazoe ya kuja geto kwangu, na akiwa kwangu akawa anajiachia sana mara avae chupi na braa, nikahisi huyu mzungu atakuwa amenizimia. Nikaanza kuweka mkakati wa kula tunda kimasihala. Basi siku moja tupo job akaniomba funguo atangulie geto kwangu nikampatia. Baada ya saa moja nami nikaenda geto naingia ndani nakuta mzungu amelala akiwa kavaa chup na braa, kidume faster nikavua nguo nikapanda kitandani nikamvua chupi, ile nataka kuweka kitu akashtuka akaanza kufoka kwamba nataka kumbaka, dem kapiga kelele, nikashindwa kula mzigo kesi ikawa inataka kupelekwa police ila wakamusihii tukayamalizie shule. Mwisho wa siku tunda sikula ila kazi nilifukuzwa. Kula tunda kimasihala kukaniponza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app