Humu wanafurahia shida za watu haya sasa labda nawewe ulikuwa unanishutumu mie malaya ila ndio life
 
WAZUNGU HAWATUPENDI. MADAKTARI FUNDISHENI WATU UKWELI JUU YA HUYU RETROVIRUS H.I.V NI WA KAWAIDA KABISA SIO WA KUMWOGOPA KABISA
JACOB ZUMA ALITUAMBIA TUWE TUNAWAHI KUOSHA ILA ALITUMWA TU NA WAZUNGU KUSEMA HIVYO KUMKANISHA THABO MBEKI ALIVYOWWMBIA WA SOUTH WAPUUZE HIV NA ARV
 
Sasa wewe uwe makini ya Nini wakati tayari.
 
Ogopa sana maisha ya kula mbaazi everyday ,Sasa endeleeni kutamani matakoo
 
Sio lazima ukubaliwe na kila mwanamke unayemtaka.
 
Hongerq mmuu.

Umepata ulichokitafuta.

Sasa ishi kwa kujimwambafy na ARVs

Yeye umempima leo anao, wewe pima baada ya miezi 3 uweze kuwa na uhakika wa CD4 za kuongeza
 
Unavyozidi kuomba kupewa ndo unavyojishusha hadhi na utaishia kuingizwa kweny friendzone. A man should know why anatongoza kwanza na hapo...
Naam ukiona mwanamke hana response na ww move on mapema it will save you from a lot of embarrasement.
Keki ni kubwa sana tafuta kipande chako na wewe jikatie uinjoy taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…