Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,778
- 109,936
Basi mtoto kweli ni mdogo Sana age 23 anasema kazaliwa 2002..
2023 - 2002 is not equal to 23....
Naona jamaa umepiga kila angle š, anyway zingatia matumizi ya PEP mkuu utakuwa sawa...
Basi mtoto kweli ni mdogo Sana age 23 anasema kazaliwa 2002..
kweli umechanganyikiwaš¬age 23 anasema kazaliwa 2002
kwa kuchora watu uko vizuriš¬Kula vizuri,fanya mazoezi ukizingatia haya utaishi kwa matumaini mtoa mada.
Sawa bosiHabari zenu
Wataalam nimekutana na mkasa huu lisaa limoja lilopita navyoongea sasa nipo Hospital nachukua dawa za PEP Mungu Mwema naamini sijapata...
Habari zenu

Kumbe vipimo ulikuwa navyo, kwanini ulimla bila kupima kwanza?? Naomi yetu yapo pamoja naweHabari zenu
Wataalam nimekutana na mkasa huu lisaa limoja lilopita navyoongea sasa nipo Hospital nachukua dawa za PEP Mungu Mwema naamini sijapata...
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Jaman mbavu zanguNimevurugwa mzee MAOMBI YENU