Nom sana,tusha acha zile mbungi la mbungil tumekuwa sasa.. N madog elimu imeokoa kil kizaz

Magufuli,aaaaisee alinyoosh wahuni wote enz zak ubabe uliptelea mbali,,
Ahaha sema ukienda kule majamaa bado yanamgwaya kinoma yani ,sema saiv baridaa sana ile border saiv imekuwa pana sana tofaut na zaman boda inatenganishwa na njia tu madukan
 
Tupo airbnb tulikuta watoto wa Mwanza mi nikaita moja chumbani ikaja nikapiga [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo aliletwa na Bwana wake ujue. Hapo hapo floor nyingine kulikuwa na watoto wawili weupe. Nikachukua mmoja nikapiga bila stress. In short nikielezea story zangu naweza fanya watu wanione muongo. Ila mademu jinsi unavyowaingia ndio itaonyesha kama utawat.omba chamsing no parapara au kuzubaa
 
Igwe mr [emoji383] [emoji1787]
 
Usitumie nguvu kama makirikiri🤓🤓👋
 
Siku hiyo miuno ile ya wacheza shoo bendi za wacongo hizi,nikalichomekea moja.
Lina mshepu balaa lile badae lilikuwa twanga lilianzia fm academia siku hizi rip potelea karibu.
Mi bana kulichomekea kumbembe likaniita mazoezini.
Enzi hizo chini kino kule karibia na makaburini mwembeni.
Bana eeh kufika kaa pale wamepiga mazoezi ile kupumzika.
Demu kaja kubandeki zake kanitambulisha shemeji yenu huyo pedeshee wa heinken nani sijui.
Hapo Nyoshi huyu akiwepo
Wale mbwa km nzi wacha waagize biere na nyama yaani wanajimwagia tu.
Mi mfukoni nna buku 30 bajeti, hapo niliweka bia za demu msosi hatumalizi.
Kuja bili mwisho ina 80+.
Hela nyingi sana hiyo kipindi hiyo.
Bahati nzuri nilimpigia mshkaji mmoja hivi hakua mbali ikabidi alete hela ya mauzo toka job kuclear bill
Ndo kuchomoka pale.
Ila yule malaya alilipa vyote maana nilikua namkopa tu mpk anakufa.
Mungu amrehemu
 
Mungu amrehemu kwa kweli.....
 
Angalia usije kuwa umeungwa kwenye gridi ya Taifa
 
Anza kutumia PEP mapemaaa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…