Ulishawahi kula tunda kimasihara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitajie PM wee mbna code zikikushinda unanijia PM nakuambia.

Hebu ntajie jina, kichwa changu kiko resii hii week, afu njaa inauma hapaa balaaa, sitaki kujichosha

Nashindwa kupokea cm niko na watu nawee.

Panda dau [emoji23][emoji23]
 
Navyoijua helaa kuliko inavyo jijua enyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo sio Celebs bhanaa.

Hakuna ncomjua mie, had celebs uchwaraa nawajua ndo nisimjue huyoo? Labda maarufu huko Tabataa kwake. Khaaaaah

Una mchamba tena sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni celb hapa na kwao
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Asante mode nadhani this is the most favourite thread throughout the time!.
Hongera sana rikiboy
P
 
Pascal Mayalla nmekuona una type kitu .

Kaka Pascal Mayalla, usiniambie kwamba umechungulia Kwa Bahati mbaya kuona Vijana wako wa kitanzania tunafanya nn.

Kaka Yangu Pascal, Maisha ni Yale yale .

Naomba utukumbushe kuendelea Kutumiaa Kondom, kucheki Afya zetu na kutumia njia za Uzazi wa mpango .

Hii itasaidia kuondoka magonjwa ya ambukizao Kwa Ngono na kuepusha Ongezeko la Watoto wasolelewa na Baba.
 
Japo sasa mimi ni mtu mzima taitafuta 60, ila na mimi pia ujana nilipitia na zali za kimasihara zilisha nidondokea sana!, tena hata kinga hukumbuki maana inatokea kama ajali!.
P
 
Japo sasa mimi ni mtu mzima taitafuta 60, ila na mimi pia ujana nilipitia na zali za kimasihara zilisha nidondokea sana!, tena hata kinga hukumbuki maana inatokea kama ajali!.
P
Mkuu na Kaka yangu Pascal,. Maisha ya Mwanaume hata Mzee, hawez kosa Maisha ya kimasihara .

Hivo basi Kwa unyenyekevu zaidi, utuwekee kisa japo kimoja Cha kimasihara katika miaka yako ya ujana .

Tuonane Sasa na zaman, wapi masihara yalikua yananoga
 
Jamaa wanahisi Wanawake ni Malaika [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana tu mm binafsi nmepiga madem wa3 tofauti iyo ni kuanzia sa3 adi sa5 uck, katika mazingira tofauti! Mmoja nmemkamua nje kashika ukuta akala ukuni kiroho safi kabsa na wakati huo majamaa yako yuko bize na uefa. Never trust women even one second ! Nakwambia atakufraisha na hutoamin
 
Back
Top Bottom