Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 336
- 1,379
Mwaka 2022, nilipata safari ya kikazi Tanga!! Kuna binti sikuwahi kumuona ila tulikuwa tunachati sana, kuna ishu alikuwa na shida nayo akapewa namba yangu then mawasiliano yetu yakaanzia hapo kwa almost miezi sita hivi. Nilipenda sauti na uchangamfu wake.
Nilipofika Tanga, nikamtafuta tukaonana sehemu sijui wanaitaje bana ila around uwanja wa mpira wa Mkwakwani!!
Kuja kuliona ni bonge la toto, shombe shombe limefungasha hatari!! Lina macho makubwa yamelegeaa....!!!
Tukasalimiana pale, story mbili tatu then nikatumia uanaume. Yaan! si kulazimisha ila ni kama order iliyo polite kidogo kwamba twende rooom na nilishaonyesha wazi hisia zangu kuwa akifika nini kinafuata. Alicheka sana, akaniomba aende home saa mbili usiku atakuja akiwa amejiandaa! Nikajua tayari nishapigwa.
Saa mbili kweli huyu hapa, sina ndom sina chochote na nikasema potelea mbali!! Nikaichakaza ile toto ya Kitanga fundi haswaa!! Ni fundi namaanisha fundi haswa!!
Nilipiga lile zigo siku mbili katika wiki niliyokaa pale!! Kilichokuja kunikumba sitasahau!!! Nilipigwa na sijui ni UTI au ni nini maana kama ni UTI haikupona kabisa!! Na hospital nikienda wanasema UTI, sindano zao sijui dozi kubwa nilimaliza inapoa then inarudi baada ya siku chache!!
Mbaya zaidi, nakojoa damu nyingi maumivu makali na wakati mwingine yanasambaa mwili mzima!! Nimepona hivi majuzi tu, sina hamu na mbususu kwanza maana Wakenya wamekula hela yangu nyingi sana kupona hilo tatizo!! Ila demu nilimfaidi sana, nimemwambia umeoza we mtoto kalia kinoma!