Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,704
Tuma screenshot tuone meseji zenu makocha tukuambie ulifeli wapiSisi wengine mtatuach mbali maana nishayaoga matusi kwa njia yako sijui nakwama wapi
Tuma screenshot tuone meseji zenu makocha tukuambie ulifeli wapiSisi wengine mtatuach mbali maana nishayaoga matusi kwa njia yako sijui nakwama wapi
Kosa lako unatuma meseji mbili mbiliView attachment 2506430
Huyu wa pili leo saa kumi na moja watatu kaniblock kabisa
Sasa wa kazi gani hao wanawake uliowalundika [emoji23][emoji23][emoji23]The way wadada wananiheshimu halafu niwaambie maneno kama njoo nikut***mb nahisi matusi nitakayooga siyo ya nchi hii, nimeshindwa kabisa kula kimasihara tunaitana kaka na dada2
Leo kuna ratiba mbili zilitaka zikafanyiwe service ila nmetoka nduki leo sijisikii.
HatarLipo moja lishawahi nisumbua tena ni lecture chuo fln maarufu hapa nchini sasa najiuliza yanaishije na wanawake haddi kupata watoto ???
Ulimlipa marehem mkuu!?Siku hiyo miuno ile ya wacheza shoo bendi za wacongo hizi,nikalichomekea moja.
Lina mshepu balaa lile badae lilikuwa twanga lilianzia fm academia siku hizi rip potelea karibu.
Mi bana kulichomekea kumbembe likaniita mazoezini.
Enzi hizo chini kino kule karibia na makaburini mwembeni.
Bana eeh kufika kaa pale wamepiga mazoezi ile kupumzika.
Demu kaja kubandeki zake kanitambulisha shemeji yenu huyo pedeshee wa heinken nani sijui.
Hapo Nyoshi huyu akiwepo
Wale mbwa km nzi wacha waagize biere na nyama yaani wanajimwagia tu.
Mi mfukoni nna buku 30 bajeti, hapo niliweka bia za demu msosi hatumalizi.
Kuja bili mwisho ina 80+.
Hela nyingi sana hiyo kipindi hiyo.
Bahati nzuri nilimpigia mshkaji mmoja hivi hakua mbali ikabidi alete hela ya mauzo toka job kuclear bill
Ndo kuchomoka pale.
Ila yule malaya alilipa vyote maana nilikua namkopa tu mpk anakufa.
Mungu amrehemu
Kaka mbona sisi wenye hela umetusahau?? [emoji23]Huwa ninawaambia...kibongobongo Wanawake wanapenda.
Madaktari 100%
Watu wa Bank 90%
Wanasheria 80 %
Wanajeshi 75%
175 asilimia, hapo unakula mpaka malaika wa kike[emoji23]Hapo sasa uwe daktari alafu mwanajeshi
Nilipita salama hukoAngalia usije kuwa umeungwa kwenye gridi ya Taifa
Ndo zile walikunywa wenzie,badae nilikua nagonga kisela tu akawa demu wangu kabisa tunapika dagaa na ugali na nyagi imeisha hiyo.Ulimlipa marehem mkuu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mie ndo Prezidaa waoo??Weka id yake hapa jamvini kubwa lao ni huyo cacacola
Mshaanza uongo wenu, yaan lecturer akose mtu had aparamie str8. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lipo moja lishawahi nisumbua tena ni lecture chuo fln maarufu hapa nchini sasa najiuliza yanaishije na wanawake haddi kupata watoto ???
Hivi Aisha Kadinda naye si alifariki???Siku hiyo miuno ile ya wacheza shoo bendi za wacongo hizi,nikalichomekea moja.
Lina mshepu balaa lile badae lilikuwa twanga lilianzia fm academia siku hizi rip potelea karibu.
Mi bana kulichomekea kumbembe likaniita mazoezini.
Enzi hizo chini kino kule karibia na makaburini mwembeni.
Bana eeh kufika kaa pale wamepiga mazoezi ile kupumzika.
Demu kaja kubandeki zake kanitambulisha shemeji yenu huyo pedeshee wa heinken nani sijui.
Hapo Nyoshi huyu akiwepo
Wale mbwa km nzi wacha waagize biere na nyama yaani wanajimwagia tu.
Mi mfukoni nna buku 30 bajeti, hapo niliweka bia za demu msosi hatumalizi.
Kuja bili mwisho ina 80+.
Hela nyingi sana hiyo kipindi hiyo.
Bahati nzuri nilimpigia mshkaji mmoja hivi hakua mbali ikabidi alete hela ya mauzo toka job kuclear bill
Ndo kuchomoka pale.
Ila yule malaya alilipa vyote maana nilikua namkopa tu mpk anakufa.
Mungu amrehemu
Mjumbeee... Wa block 7AMjumbe mjumbe mjumbe, nimekuita mara tatu maana umenikumbusha mbali sana nilivyoyasikia hayo maeneo, ikuti, iyunga, tazara n.k.....
Hivi Aisha Kadinda naye si
Aisha Madinda alivutaHivi Aisha Kadinda naye si alifariki???
Mkuu kuna wengne mashine zikishawakolea hata sauti zao znakuwa kama mademu,Aisee,ulikutana na shoga,aliwezaje kuigiza sauti ya kike na usigundue
Wanakera kinoma qma la mama zao zinazopepeta mchele [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35] acha tu [emoji34]Kumbe na MIPUNGA ipo humu[emoji1787][emoji1787]
Ndio maana vyakula vimepanda bei mamaaae